Kwasas wanaona maendeleo wanaleta wivu tusiwajari tushikamane watakuja wenyeweMajirani zetu huwa wanatunyanyasia mno raia wetu. Wakt raia wao wakija hapa tz, wanaishi kwa raha bila usumbufu..! Tumekuwa mno wapole kiasi wanatupanda kichwani.
Ni muda sasaa serikali nayo ijibu huu undava ili kujibu huu ujinga, na kufanya iwe fundisho raia wetu wasinyanyaswe hovyo
Ukitaka uelewe, soma mswala ya consipiracy.Zambia, Rwanda, Malawi ?
au vipimo wanavyo tumia nivile vya kupimia mbuzi na mapai😊😊Inaonekana kuna hujuma Fulani tunafanyiwa na majirani zetu, maana hao madereva wanarudi na wanaendelea na Maisha yao bila kupata tabu ya kiafya.
Halafu pamoja na wingi wote wa korona iliyopo tanzania hawa wapiga debe wa karona waliopo jf wao hawafi isipokuwa kazi yao kudai watu wengi wanakufa.mkuu kuna watu wapuuzi sijapata kuona.
wao ni wa tanzania lakini bado wanaomba mabaya kwa tanzania ilhali na wao ni watanzania.
hapo unapata majibu ya haraka kwamba ni wapuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app