Corona: Donald Trump asema "Mass testing" sio muhimu

Corona: Donald Trump asema "Mass testing" sio muhimu

😁😁 Naona mleta mada amepewa kichapo na Watanzania wenzake.
 
donald trump kwa mambo ya short term gains ako sawa, a businessman
lakini kwa long term planning na outlook ya dunia
kuna akili kubwa
donald trump dibanded obamas pandemic response team and killed obamacare

kuna watu hii dunia huona mbali
this was Bill Gates miaka tano ilopita 2015 akisema virus inakuja
akili finyu kama zenu mnafaa kujielimisha
start taking this thing seriously this is not about kenya vs tz

BILL GATES TED TALK 2015
 
hongera zetu tz mazee tuko vizurii, hska kamafua hakatutishii!!!
FB_IMG_1586202765079.jpg
FB_IMG_1586211053904.jpg
FB_IMG_1586690402168.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona povu tu humu kwani Trump kasemaje.....
Mleta maada tangu lini Trump amekua rais wa Kenya?
 
Tetea tu hoja yako ila kumquote Trump ni kuiharibu. wanaofatilia speeches/mijadala/mahojiano/ yake wengi tunajua IQ ya Trump ni way below average.
Hahahaha, unachekesha kweli wewe, eti unaweza kusema IQ ya Trump ni ndogo. Wewe hapa Africa hata udiwani huwezi pewa. Mtu yeyote yule mwenye kufikia kugombea cheo chochote kile huko USA, lazima IQ yake ni zaidi ya kawaida, USA sio Afrika, hawachagui watu wa hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
donald trump kwa mambo ya short term gains ako sawa, a businessman
lakini kwa long term planning na outlook ya dunia
kuna akili kubwa
donald trump dibanded obamas pandemic response team and killed obamacare

kuna watu hii dunia huona mbali
this was Bill Gates miaka tano ilopita 2015 akisema virus inakuja
akili finyu kama zenu mnafaa kujielimisha
start taking this thing seriously this is not about kenya vs tz

BILL GATES TED TALK 2015

All these people know what is going on, don't talk like a fool, this pandemic is an inside job

Even September 11th was prophesied by the same elites,

So many times conspiracy theories work.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Washauri wake wanasema uchumi wa Marekani hautafunguliwa tena hadi uwezo wao wa mass testing utakapokuwa sawa. Wanasema Marekani lazima ijitahidi kuongeza idadi ya watu wanaofanyiwa testing ili punde tu uchumi utakapo anza kazi,watu waanze kupimwa na kuwa isolated.
Evidence please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All these people know what is going on, don't talk like a fool, this pandemic is an inside job

Even September 11th was prophesied by the same elites,

So many times conspiracy theories work.

''inside jobs'' ladies and gentlemen
visualize-pandemics.jpg
 
Hahahaha, unachekesha kweli wewe, eti unaweza kusema IQ ya Trump ni ndogo. Wewe hapa Africa hata udiwani huwezi pewa. Mtu yeyote yule mwenye kufikia kugombea cheo chochote kile huko USA, lazima IQ yake ni zaidi ya kawaida, USA sio Afrika, hawachagui watu wa hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu kwa hiki acha nimtetee shemeji yangu hydrogen. Kama kweli umeishamsikiliza Trump; yaani ni kituko hadi Americans wanalijua hiko

God save us
 
Hahahaha, unachekesha kweli wewe, eti unaweza kusema IQ ya Trump ni ndogo. Wewe hapa Africa hata udiwani huwezi pewa. Mtu yeyote yule mwenye kufikia kugombea cheo chochote kile huko USA, lazima IQ yake ni zaidi ya kawaida, USA sio Afrika, hawachagui watu wa hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa hata niku engage vipi, umeongea maneno sawa.... ila nimejitahidi kutafuta content ya kujibu sijaona! Hapa Kitachofata kama sio matusi ni vijembe na emonji kwa wingi, Kwaiyo tuseme tu umeshinda yaishe.
 
USA is reporting that as of today they have tested a total of 3,420,394 people! The leading states for these tests are: 550,579 tested New York US 246,400 tested California US 224,141 tested Florida US 158,547 tested Texas US .....alafu kuna fala fulani ilikuwa inasema Us hai test
 
Back
Top Bottom