Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Jamaa acha uwongo kipindi cha CORONA tanzania inatrand ulishawahi udhuria HOSPTARI za SERIKALI.Ugonjwa upo. Watu wanaugulia majumbani. Walioko mahospitalini ni wengi na taarifa hazitolewi. Mwenye kupona na apone. Mwenye kufa ni bahati mbaya. Tunategemea "herd immunity".
Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu....
Ndio na kwa sasa marelia hakuna kweliNchi ya kishenzi hii! Corona katika epidemiology ina tofauti gani na Malaria, TB and other infectious diseases, kuna siku itatangazwa kuwa hatuna malaria..... wakati tumezungukwa na malaria kwa majirani
Mbaya zaidi kwenye mikusanyiko ya lazima ndo watu wanapata corona.Kweli kabisa. Ugonjwa upo, kikubwa kuzingatia maonyo ya wataalamu wa afya, kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima.
Mkuu,Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la kuweka matumaini makubwa katika dua na maombi na kuanza kulegeza taratibu zingine za kujikinga. Duniani wanaoathirika na Covid wengine ni wacha Mungu kuliko hata sisi na hatuna ubora wa kiimani kuliko wao.
Naamini ya kuwa mafanikio makubwa tuliyopata mwaka jana pamoja na hizo dua na maombi ni kuanza kuchukua hatua mapema kuhamasisha watu kwa kupitia njia mbalimbali.
Ugonjwa upo South Africa, Malawi, Kenya na Uganda achilia mbali Burundi na Rwanda na kwa mantiki hiyo ni suala la muda tu.
Serikali iendelee kutangaza kuwa hakuna Covid-19 lakini irudishe uhamasishaji wa kujikinga. Barakoa katika public places (hasa daladala) iwe lazima, vifaa vya kunawia mikono sehemu za biashara virudishwe, shule zote taratibu za awali ziwekewe mkazo.
Kwa kuwa ugoNjwa umeonyesha kuwa na athari kubwa kwa watu walio na magonjwa mengine (co morbidity kama kisukari, Pressure na HIV), kliniki za magonja haya ziwekewe utaratibu mzuri.
TANZANIA KORONA HAKUNA ILA KWA JIRANI IPO!
Mnamfanyia dhihaka Mungu....kama unaipenda Corona HAMIA KENYA tuache sisi na MUNGU WETU.
sisi tumeamua kumuachia MUNGU na matokeo tunayaona.
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Kama karibia wote wanaokuzunguka wanateseka nao ni Mpumbavu na Mwendawazimu tu pekee atakayeamini kuwa CORONA haipo 100% nchini.Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la kuweka matumaini makubwa katika dua na maombi na kuanza kulegeza taratibu zingine za kujikinga. Duniani wanaoathirika na Covid wengine ni wacha Mungu kuliko hata sisi na hatuna ubora wa kiimani kuliko wao.
Naamini ya kuwa mafanikio makubwa tuliyopata mwaka jana pamoja na hizo dua na maombi ni kuanza kuchukua hatua mapema kuhamasisha watu kwa kupitia njia mbalimbali.
Ugonjwa upo South Africa, Malawi, Kenya na Uganda achilia mbali Burundi na Rwanda na kwa mantiki hiyo ni suala la muda tu.
Serikali iendelee kutangaza kuwa hakuna Covid-19 lakini irudishe uhamasishaji wa kujikinga. Barakoa katika public places (hasa daladala) iwe lazima, vifaa vya kunawia mikono sehemu za biashara virudishwe, shule zote taratibu za awali ziwekewe mkazo.
Kwa kuwa ugoNjwa umeonyesha kuwa na athari kubwa kwa watu walio na magonjwa mengine (co morbidity kama kisukari, Pressure na HIV), kliniki za magonja haya ziwekewe utaratibu mzuri.
TANZANIA KORONA HAKUNA ILA KWA JIRANI IPO!
Umeliona tangazo hili linalozunguka mitandaoni?Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la kuweka matumaini makubwa katika dua na maombi na kuanza kulegeza taratibu zingine za kujikinga. Duniani wanaoathirika na Covid wengine ni wacha Mungu kuliko hata sisi na hatuna ubora wa kiimani kuliko wao.
Naamini ya kuwa mafanikio makubwa tuliyopata mwaka jana pamoja na hizo dua na maombi ni kuanza kuchukua hatua mapema kuhamasisha watu kwa kupitia njia mbalimbali.
Ugonjwa upo South Africa, Malawi, Kenya na Uganda achilia mbali Burundi na Rwanda na kwa mantiki hiyo ni suala la muda tu.
Serikali iendelee kutangaza kuwa hakuna Covid-19 lakini irudishe uhamasishaji wa kujikinga. Barakoa katika public places (hasa daladala) iwe lazima, vifaa vya kunawia mikono sehemu za biashara virudishwe, shule zote taratibu za awali ziwekewe mkazo.
Kwa kuwa ugoNjwa umeonyesha kuwa na athari kubwa kwa watu walio na magonjwa mengine (co morbidity kama kisukari, Pressure na HIV), kliniki za magonja haya ziwekewe utaratibu mzuri.
TANZANIA KORONA HAKUNA ILA KWA JIRANI IPO!
Mwenye jina,na institution wamelikana tangazo hilo!!Umeliona tangazo hili linalozunguka mitandaoni?
Hello everyone in Dsm
Today is the 17th of January 2021
There has been an increase in admissions into health facilities in the past week
I would like to advise you to maintain precautions as follows:
1. Avoid unnecessary gatherings
2. Wear face masks in public places
3. Adhere to hand hygeine and social distancing practises
Thank you
Please share this message and bring about awareness.
Dr. Murtaza Shk. Ayman - Saifee Hospital DSM
Ugonjwa upo na utaendelea kuwepo tuchukue taadhari,Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la kuweka matumaini makubwa katika dua na maombi na kuanza kulegeza taratibu zingine za kujikinga. Duniani wanaoathirika na Covid wengine ni wacha Mungu kuliko hata sisi na hatuna ubora wa kiimani kuliko wao.
Naamini ya kuwa mafanikio makubwa tuliyopata mwaka jana pamoja na hizo dua na maombi ni kuanza kuchukua hatua mapema kuhamasisha watu kwa kupitia njia mbalimbali.
Ugonjwa upo South Africa, Malawi, Kenya na Uganda achilia mbali Burundi na Rwanda na kwa mantiki hiyo ni suala la muda tu.
Serikali iendelee kutangaza kuwa hakuna Covid-19 lakini irudishe uhamasishaji wa kujikinga. Barakoa katika public places (hasa daladala) iwe lazima, vifaa vya kunawia mikono sehemu za biashara virudishwe, shule zote taratibu za awali ziwekewe mkazo.
Kwa kuwa ugoNjwa umeonyesha kuwa na athari kubwa kwa watu walio na magonjwa mengine (co morbidity kama kisukari, Pressure na HIV), kliniki za magonja haya ziwekewe utaratibu mzuri.
TANZANIA KORONA HAKUNA ILA KWA JIRANI IPO!
Baada ya kusoma IMALA nikajisemea huyu ni mtanzania mwenzangu kamili. Hongera kwa points nzuri mkuu.Umejuaje uchamungu wao au kwakuwa wanavaa majoho na kushinda mazahabuni?
Hujapata kusikia kisa cha IMAMU anakwenda MOTONI mlevi mnzinzi anaingia PEPONI
Ninachofahamu TANZANIA CORONA na AFRCA kwa ujumla tushaumwa na miili yetu imejijengea kinga madhubuti ya ugonjwa huo hvyo huo ugonjwa si tishio tena kwetu na kuna memba mmoja alielezea kwa kina hasa kwann tumeweza kuishinda CORONA sifa kwa kiasi zimuendee JPM japo alifanya hatua ya hatari kuacha usambae kwa kila mtu lakini matokeo yake ni bora kwa kila mtanzania anayependa Famiria yake na maisha yake.
Hvyo Pongezi zinakwenda kwake nyingi kwa kuzuia LOCKDOWN ambayo imekuwa tiba bora zaidi kwa kutuwezesha watanzania kujenga IMMUNE SYSTEM imala kabisa ya kuishinda CORONA.
CORONA si THREAT tena kwetu watanzania amini hivyo mkuu
Naandika haya mm nikiwa mmoja wapo wa tulioathirika na dalili zote za CORONA kati ya MARCH 2020 mpk JUNE 2020 nilipopona kabisa dalili zote za COROBA kwa kutumia mitishamba mbalimbali na PANADOL.
Kama Corona hamna raisi MAGUFULI yupo wapi hayupo dodoma hayupo dar. Unakumbuka kipindi cha corona 1 alienda wapi na sasa yupo wapi??Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la kuweka matumaini makubwa katika dua na maombi na kuanza kulegeza taratibu zingine za kujikinga. Duniani wanaoathirika na Covid wengine ni wacha Mungu kuliko hata sisi na hatuna ubora wa kiimani kuliko wao.
Naamini ya kuwa mafanikio makubwa tuliyopata mwaka jana pamoja na hizo dua na maombi ni kuanza kuchukua hatua mapema kuhamasisha watu kwa kupitia njia mbalimbali.
Ugonjwa upo South Africa, Malawi, Kenya na Uganda achilia mbali Burundi na Rwanda na kwa mantiki hiyo ni suala la muda tu.
Serikali iendelee kutangaza kuwa hakuna Covid-19 lakini irudishe uhamasishaji wa kujikinga. Barakoa katika public places (hasa daladala) iwe lazima, vifaa vya kunawia mikono sehemu za biashara virudishwe, shule zote taratibu za awali ziwekewe mkazo.
Kwa kuwa ugoNjwa umeonyesha kuwa na athari kubwa kwa watu walio na magonjwa mengine (co morbidity kama kisukari, Pressure na HIV), kliniki za magonja haya ziwekewe utaratibu mzuri.
TANZANIA KORONA HAKUNA ILA KWA JIRANI IPO!
Kwani kuna ndugu yako hata mmoja amekufa na Corona?Nani kakudanganya hakuna corona?
Jichunge wewe na familia yako ndugu!
Sasa hivi ni 'janga la kifamilia' sio la 'Taifa' tena! take care!