#COVID19 Corona husababisha umaskini au umaskini husababisha Corona

#COVID19 Corona husababisha umaskini au umaskini husababisha Corona

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kila nyakati ambapo corona inavuma maeneo mengi Basi angalia mwenendo wa biashara Duniani utagundua ushindani unakuwa mkubwa Kama ni nafasi za kazi Basi hutangazwa chache na waombaji wanakuwa Wengi Kama ni siasa za Duniani utaona mizozo mingi inaongezeka.

Basi naweza kusema kwamba corona ni hali inayotokea watu pale wanapofilisika,wanapopoteza pesa,wanapopatwa na majanga mbalimbali,wanapokatishwa tamaa,wanapoudhiwa na wapendwa wao n.k.

Chunguza kwa umakini utagundua Hilo ndugu yangu kwa hivyo Cha kufanya Ni kuchukua tahadhari,kujenga Kinga ya mwili,kutojitenga na jamii yako.
 
Corona imeshusha uchumi wa nchi nyingi sana na za mtu mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom