Corona: Huu ndio mtazamo wa Kenya kuhusu Tanzania kuhusu Corona, kweli Magufuli ni kiboko

Waliendesha campaign ya matusi na udhalilishaji kitaifa kwa Magufuli, walikuwa wanaweka pictures za vitu vya ajabu na Magufuli huko twitter.com na kuzipambanisha na Magufuli intellectually kwa kweli ni kipindi nilitokea kuwachukia wakenya vibaya mno na walikuwa wakishangilia sana zile video fake za ebola huko DRC zilikuwa zikitumika na nyumbu kuaminisha watu kama ni Corona.

Yaani hii mijitu ni ya hovyo kupita maelezo na ndio maana yana lots of shortcomings kwenye nchi yao.
 
Tegemea mabaya kuliko Yale toka kwa Wakenya, Mimi ninawajua vizuri sana kwahiyo sikishangaa walipokua wakifanya vile. Hivi kwanini unadhani wanauana na nchi yao ni miongoni mwa nchi hatari zaidi duniani? Hawa jamaa ni makatili na wana roho ngumu na mbaya kuzidi nyoka, kamwe usikosee ukamkatibisha mkenya katika maisha yako.
 
Wazungu wamewaharibu akili zao sana hao nyang'au. Itawachukua miaka mingi kugundua ulimbukeni wao.
 
Wewe inaonekana ni sycophant wa sisiemu zaidi.
 
Wewe inaonekana ni sycophant wa sisiemu zaidi.
Hivi Tony254 unajisikiaje baada ya kampeni kubwa mliyoifanya ya kumchafua Magufuli na Tanzania kwa ujumla, na sasa hivi mambo yamekwenda kinyume kabisa na mategemeo yenu?
 
Hivi Tony254 unajisikiaje baada ya kampeni kubwa mliyoifanya ya kumchafua Magufuli na Tanzania kwa ujumla, na sasa hivi mambo yamekwenda kinyume kabisa na mategemeo yenu?
Wakenya wa kawaida hawamfikirii Magufuli kabisa. Wana mambo mengi ya kufikiria.
 
Aliyewaumbua wakenya ni Mungu. Walimcheka sana Magufuli alivyosema tufunge na kuomba, wakadhihaki sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…