joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Today I Lost a Dear Friend of Mine, RI Boss Mourns a Pal who Succumbed to Coronavirus
Wakati tukisubiria kwa hamu kubwa matangazo ya kila siku kuhusu idadi ya watu walioambukizwa na waliokufa kutoka kwa wizara ya Afya ya Kenya, ndugu na jamaa wa mtu aliyekufa mapema Leo, wametoa taarifa kwa kupitia mitandao ya kijamii.
Kama hakutokuwepo na mtu mwengine aliyeaga dunia zaidi ya huyu, basi idadi ya wakenya waliokufa kutokana na Corona itakua imefikia watu 5, hivyo kuiweka Kenya kuwa miongoni mwa nchi zenye wagonjwa na vifo vingi kusini mwa jangwa la sahara.
Note; Hata Tanzania pia vifo vitokanavyo na COVID-19 ni vingi sana, tatizo Tanzania haina maabara ya kugundua maiti.
========
Resolution Insurance founder and director Peter Nduati has revealed that he lost a close friend to the deadly Coronavirus raising concerns over the real number of Kenyans that have succumbed to the pandemic.
So far, only four deaths have been reported in the country, with a similar number of people said to have recovered fully from the virus after undergoing treatment at the Mbagathi Hospital isolation center. In total 142 cases have so far been confirmed in the country with the number expected to go hire in the coming weeks.
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has been addressing the country on a daily basis giving updates on the latest number of cases, deaths and recoveries if any, the manner with which he has handled the issue earned him praise both in Kenya and outside, he was recently recognized for his good work in the US.
Sent using Jamii Forums mobile app