OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
amekufa kwa corona?pole.mkuuNiliyoyaona kondo juzi nimeenda kuhudhuria mazishi ya Mtoto wa kaka yangu.Ni kwamba hali ni ya hatari kwa kweli.Ya Jandoni hebu niyaache jandoni ila ni zaid ya hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli ile ya Ummy mwalimu ya kwamba "tumeamua kusema ukweli" na kisha kutaja idadi kubwa ya wenye virusi vya corona,nilhisi tu kuna kitu hapa si kwamba et wameamua kusema ukweli tofauti na wengi walivyodhani.Ninamashaka kama hii idadi ya wagonjwa inayotajwa sasa haina uhusiano wowote na tamko la WB la kukopesha nchi zilizoathirika zaidi na corona.
Tuwekeeni hata picha au video clip basi tuone hayo makaburiTembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Idadi ya kweli ndiyo inatoka sasa.
Hatuko kwenye peak tusijidanganye maambukizi ndio kwanza yanasambaa kuelekea InlandI believe huo ndio uhalisia. Tuchukue tahadhari. Ila si vema kutiana hofu sababu naamini tuko kwenye peak na tutavuka salama.
Sasa jemadari wa majeshi kajifisha chato unategemea sisi tufanyeje? Chamhimu kila mtu ajilinde kwa namna yake. Kaa ndani toka nje kwa kuvizia"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
kibush doctor sioMimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
Sawa! Ila unaposema tupo kwenye peak, ni hatua gani kubwa zilizochukuliwa kuepusha maambukizi zaidi katika jamii?I believe huo ndio uhalisia. Tuchukue tahadhari. Ila si vema kutiana hofu sababu naamini tuko kwenye peak na tutavuka salama.
Tunawaomba ndugu wa Marehemu waje watie uzito kwenye uzi huu ili kuwepo na uhalaliMada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.
Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.
Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Muafrika bwana kuzikwa kwa umati na kuzikwa bila umati ni swala analoweza kuletea ugomvi! Sasa kama kuna coronavirus what's the problem mamlaka ikifanya inachofanya? peleke ujinga aisee! Au unataka kila mazishi yaende na maambukizi?"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Kwa hizi kejeli na uzushi wenu natamani JF ifungiwe kwa muda kwani imewapa kijiwe cha kukashfu na kuzusha kila mtakalo. Ilimradi mnaitukana,kuikashfu serekali basi humu nisehemu salama sana kwenu kuliko ufipa st.Nasasa Wagonjwa wengi wanatoroka na kwenda kujifukiza ili kuunga mkono ushauri wa mkemia wa Mayalla
Watu kila siku wanakufa mahospitalini kabla hata ya hiyo corona yenu!
Hao watu "wanaopukutika" kwa corona mbona siwaoni?
Hizo ambulance huwa zinapita mitaa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa jana kasema hii mitandao IGP should deal with them!Kwa hizi kejeli na uzushi wenu natamani JF ifungiwe kwa muda kwani imewapa kijiwe cha kukashfu na kuzusha kila mtakalo. Ilimradi mnaitukana,kuikashfu serekali basi humu nisehemu salama sana kwenu kuliko ufipa st.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe. mi huku najivukizia ππππ"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Kwahiyo corona tu ndio imemlaza au anasumbuliwa na maradhi mengine pia?Mim na mtu anaumwa korona na amelezwa, ameniambia watu wanao umwa ni wengi yeye akiwa mmojawapa aliyelazwa acha uzwazwa