Kama akili ni nywele maprofesa wengi wasingekuwa na vipara bila kuwasahau madokta ,
"Ila pia aliwazalo mjinga ndio limtokealo"
Piga ua lazima nifike kigari niibe manzi mmoja mkali nimlete bongo kwa Magufuli
"Kigari"cha Mazda"Kigari" cha aina gani mkuu? Nissan au Mazda?
"Kigari"cha Mazda
Ila sioi nasikia wanyarwanda sio.Anaweza kuja kaka yake kumpa hai kumbe ni jembe lake la kumlima
Kwa hiyo akifa ndo tusilale wala tusinywe maji?kisa kuna mnyarwanda kafa?Hivi mkuu inakufikirisha kuwa pana mtu amekufa lakini, na kuwa kama binadamu tu, unadhaniwa kuwa angalau hata na chembe ya kujali ukweli huo?
Does it concern you anyway?
Wanasema waungwana "asiyejua kufa na aangalie kaburi."
Yaani umeona hilo ni tukio kubwa la kifo cha mtu mmoja hao waliokufa na bodaboda mbona ni wengi kuliko huyo mrembo mmoja kwenye kundi la watu milioni kadhaa? shida ya corona mnaipromoti sana kama vile kabla ya korona hapakuwa na kifo.
Kwa hiyo akifa ndo tusilale wala tusinywe maji?kisa kuna mnyarwanda kafa?
Bwege kweli wewe
Wewe ni bwege tu.yani kimtu kimoja kimekasee eti ndo dunia isimame.Wewe usipokuwa bwege mabwege duniani hawapo.
Mwerevu uwe wewe?
Wewe ni bwege tu.yani kimtu kimoja kimekasee eti ndo dunia isimame.
Ovyooo,,,!!
Habari ndo hiyo.Unajitekenya na kucheka mwenyewe?
Ubwege kumbe nayo ni rare profession.
Hongera. Utakuwa Professor kwenye hiyo taaluma.
So Covid19 kaipatia Rwanda au nje ya Rwanda?Mabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari!
Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa.
Inasikitisha.
Akapumzike kwa amani.
View attachment 1468033
View attachment 1468034
View attachment 1468035
View attachment 1468036
View attachment 1468040
View attachment 1468045
UGONJWA UNA TIBA (NYUNGU YA MAWE) UGONJWA UNA KINGA BARAKOA NA SABUNI LIPI JIPYA KWA KORONA HAPO ????Shida ya Corona hadi kuongelewa katika namna ambayo wewe unaiita kuipromoti ni hii hapa:
1. Ugonjwa ni mgeni haufahamiki vilivyo.
2. Ugonjwa hauna tiba wala kinga.
3. Ugonjwa unauwa.
Hapa tulipo Nkurunziza na mkewe ni wagonjwa. Hatuna uhakika wa kujilinda dhidi yake.
Hiyo ndiyo tofauti ya ajali za bodaboda unazoziongelea ambazo kwa zile za kubrashia viatu tu ajali zote zinayeyuka!
Hapa Tanzania corona ilikimbia kwa aibu
UGONJWA UNA TIBA (NYUNGU YA MAWE) UGONJWA UNA KINGA BARAKOA NA SABUNI LIPI JIPYA KWA KORONA HAPO ????
Habari ndo hiyo.
But seriously Rwanda wanadanganya takwimu tuseme tu kweliMabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari!
Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa.
Inasikitisha.
Akapumzike kwa amani.
View attachment 1468183
View attachment 1468184
View attachment 1468036
But seriously Rwanda wanadanganya takwimu tuseme tu kweli
Jr[emoji769]