gwamipascal
Member
- Mar 28, 2020
- 15
- 23
Ni mtazamo wangu tu, Mnaweza kunikosoa na kunielekeza kilicho sahihi zaidi.
Kuna watu wanalalamika eti kwanini serikali yetu ya TZ haifungi bar, vilabu masoko kama kariakoo na kwingine kote.
Jaman tuwe waelewa na wenye kufikir kuliko kulaum bila kua na ufaham wa kina.
Hivi wanaolalamika wanadhan serkal haifikiri kuhus hilo swala? Viongoz wanaumiza vichwa jins ya kufanya na wanafikiria madhara ya kufunga maneo ambayo watu wanafanya biashara mana Watanzania wengi tunatoka kila siku ili tupate hela ya kuacha nyumban. Hatuna akiba kubwa ya pesa ambayo tunaweza sema leo kila mtu anunue chakula cha kutosha cha kula mwezi au miez kadhaa. Uwezo huo hakuna.
Ukifunga bar vilabu na masoko, kumbuka umefunga ajira na vibarua vya watu ambao wanafanyakazi maeneo hayo. Na wakat huo serkal haina uwezo wa kuwapa wananchi chakula kwa kipindi chote, na wananch hawana uwezo wa kujihudumia kwa kipindi chote wakat maeneo ya kazi umefunga.
JE HAPO HUONI KUA UTAKUA UMEONGEZA TATIZO BADALA YA KUTATUA TATIZO? Mana utawaua raia kwa njaa. Ndo mana serkal yetu inatafakr cha kifanya lakin sio kufungia watu ndan wanajua madhara ni makubwa bora tuendelee kuomba Mungu huku tunatafuta riziki ya kila siku.
HITIMISHO: tusi fuate au kuiga wanayofanya watu wa mataifa mengine bila kuangalia hali halis ya nyumban kwetu yaan Taifa letu. Ijulikane kua serkal haijalala kwenye hili swala mkazani kua hawaoni au hawafikirii wanaumiza vichwa nao hawalali kutafuta suluhisho. Tuache kulaum hovyo hovyo vingine hatuvijui.
Corona itaisha tu kwa uwezo wa Mungu. Ila sisi tuchukue tahadhar kama tunavyoelekezwa.