Corona kali ipo na watu 'wanagongeana' sigara

Corona kali ipo na watu 'wanagongeana' sigara

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Serikali makini mna habari kwamba huku mitaani kundi la watu wanaovuta sigara wanapezana sigara kwa kuwa uchumi sio mzuri?

Mtu Winston moja wanavuta watatu sasa wameshazoea wakaona Corona hamna maana wanadai hawajaona ishara za hao washikaji zao kufa kwa wingi.

Ndugu zangu Serikali kuweni makini zaidi na njia za kuzuia maambukizo kwa mfano clubs, bar, mikutano n.k.
 
Si Arusha na Moshi tu.

Ulitumia kipimo gani kuona ni hiyo mikoa miwili tu ndiyo iliyofurahi ?!

Odhis *
Mbona sijasema kuwa ni hiyo mikoa miwili tu bali nimeuliza kama ni kweli hiyo mikoa ilifurahia mtu kufariki?
 
Sigara zenyewe zinaua , msitusumbue bana corona kwio[emoji1787][emoji1732][emoji205]
Sie tunademka tuu mi mwenyw nashangaa hyo kitu inayopigwa promo hivi iko wapi?sijaona mwana hata mmoja alievuta kutokana na hiyo makitu ya covid
 
Ndiyo maana mnakufa sana wachaga hadi majeneza yameisha
Corona haina mwenyewe kumbuka kipindi huu ugonjwa unaanzia kule wuhan china mataifa mengi yalifurahi kuendelea kula bata bila kujali umeshasahau italia
 
Back
Top Bottom