Corona: Kenya to become East laughing stock

Corona: Kenya to become East laughing stock

Bugucha

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2020
Posts
3,374
Reaction score
13,922
Why Kenya Might Become an East African Laughing Stock if They Fail to Win Against COVID-19

WillyKim
4h

Analysts warn that Kenya might actually become a laughing stock if they fail to win the war against Covid 19 despite all the measures that were put including partial lockdown that barred people from getting into Nairobi and Mombasa counties.

Despite all these measures Kenya still has surging numbers of Covid 19 cases that dont seem to be ending any sooner.Kenya is currently at over 10,000 cases and still records large numbers each day.

Countries like Uganda imposed a nationwide lockdown and managed the situation as this is seen where they have slightly over 1000 cases.Tanzania on the other end decided that they were Covid free and did not impose any lockdown ,thus the economy never declined.

Rwanda also imposed a nationwide lockdown and thus registered fewer cases .The measures that Kenya imposed including lockdown and overnight curfew have had adverse effects on its economy as it is so down.Therefore if Kenya doesnt win against Corona virus it might just seem as an activity that was a time waste but yielded no fruits.However ended up destroying the economy.

It is therefore up to the Kenyan government to try as hard as they could together with its citizen to combat this pandemic lets become a regional laughing stock.

MY TAKE: Naona akili imeanza kuwakaa sawa majirani,hahaha!
 
Naomba modes mrekebishe heading iwe"East African"
 
Kenya waliona wa Tz ni wajinga sana. Wakaongea maneno yote ya kashfa. Kila mtanzania aliyeingia kwao alionekana ana covid 19.

Hii yote ilikuwa kutuchafua na kuharibu kabisa biashara ya utalii nchini. Kibao kimegeuka mazima. Sasa wasubiri watakavyoanza kufa njaa
 
Njia na ujinga ya kushinda ni kuwacha kupima,kuficha maambuziki,vifo, na crashing MEDIA too.
Hii ni njia ya dictatorial states eg TZ, UG, RW, ET,
Hapa ukijaribu iyo upuuzi media itawaka moto.
Ruling nchi imejaa wajinga ni rahisi sana,hapa huwezi.
 
Njia na ujinga ya kushinda ni kuwacha kupima,kuficha maambuziki,vifo, na crashing MEDIA too.
Hii ni njia ya dictatorial states eg TZ,UG,RW,ET,
Hapa ukijaribu iyo upuuzi media itawaka moto.

Tatizo lenu ni USHAMBA na ULIMBUKENI.. mko kama makasuku midomo juu tu kuitikia kila kitu waume zenu (mabeberu) wanachofanya au kusema. Wakenya wenzako wanatoroka boda na kuja huku sasa wako mashuleni wanafundisha waulize on ground hali ikoje?

Mlikuwa mnafanya curfew na lockdown ya kwenye media na mtandaoni sasa check mambo yalivyowageukia! Stupid kunyans with chick visions.
 
Jibambe mtoto.
 
Punguza frustration buda,yaani mnaenda kuwa kituko hapa EA,mpaka sasa nyinyi ndio mnaongoza kwa maambukizi,mmeshindwa na LDC Rwanda na Uganda,aibu hii mtaiweka wapi.unaposema tutangaze,nyinyi kutangaza bila kuchukua hatua madhubuti kumaliza maambukizi imewasaidia nini mpaka sasa hivi?pia sisi hatuna maambukizi sasa tutangaze nini?by the way,msijifanye mnajua demokrasia hapa EA wakati mnauwa wananchi kwenye mabanda ya kibera walipojaribu kuandamana.failed state!
 
Njia na ujinga ya kushinda ni kuwacha kupima,kuficha maambuziki,vifo, na crashing MEDIA too.
Hii ni njia ya dictatorial states eg TZ,UG,RW,ET,
Hapa ukijaribu iyo upuuzi media itawaka moto.
Ruling nchi imejaa wajinga ni rahisi sana,hapa huwezi.
Sisi tulioko Tz tunawaambia huku Covid haitusumbui tena. Wala haipo hivyo, hakuna mamia ya watu wanaokufa kwa Covid kama mnavyojiaminisha.

Tulipoitisha maombi, tulipopiga nyungu mkatuona sisi ni wajinga MKATUTUKANA MBELE YA HADHARA NA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. Kwa taarifa yenu siri yetu ya ushindi iko hapo.

MNACHOKIPATA SASA HIVI NI ADHABU YA DHAMBI ZENU ZA KUTUKANA WENZENU.
 
Tatizo lenu ni USHAMBA na ULIMBUKENI.. mko kama makasuku midomo juu tu kuitikia kila kitu waume zenu (mabeberu) wanachofanya au kusema. Wakenya wenzako wanatoroka boda na kuja huku sasa wako mashuleni wanafundisha waulize on ground hali ikoje?

Mlikuwa mnafanya curfew na lockdown ya kwenye media na mtandaoni sasa check mambo yalivyowageukia! Stupid kunyans with chick visions.
Haha you don't have moral authority to recture us on issues pertaining covid
 
Haha you don't have moral authority to recture us on issues pertaining covid

Msione aibu, swallow your pride and come to learn from us how we elude this pandemic. SA pia waliagiza doctors from Cuba ila sasa hao doctors ndio wanakimbia hospital na kuacha wagonjwa wamezagaa tu. The health system has paralyzed. Na nyie ndio mnaelekea huko huko.
 
Tatizo lenu ni USHAMBA na ULIMBUKENI.. mko kama makasuku midomo juu tu kuitikia kila kitu waume zenu (mabeberu) wanachofanya au kusema. Wakenya wenzako wanatoroka boda na kuja huku sasa wako mashuleni wanafundisha waulize on ground hali ikoje?

Mlikuwa mnafanya curfew na lockdown ya kwenye media na mtandaoni sasa check mambo yalivyowageukia! Stupid kunyans with chick visions.
Kisa wanajua kuongea kingereza basi kwao mzungu ni kama mungu wao
 
Hahaha kitu kinachoniacha Hoi ni kufunga shule na vyuo mpaka next year [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli kichaa sio lazima avae chupi kichwani, wapo vichaa wengine wanaishi mpaka ikulu [emoji28][emoji28][emoji28]
Mrekani wana maambukizi zaidi ya milion 3 na vifo zaidi ya laki 2,lakini jana nmeona wanaweka mikakati ya kufungua shule mwezi September. Kenya nchi maskini kabisa ambayo raia wake wanakufa njaa eti shule hadi mwakani na maambukizi hayafiki hata laki.

Siku za nyuma niliwaona wakenya wanajitambua sana ila now naona wako kama mazuzu flani hivi
 
usipojua unapokenda,njia yoyote itakupeleka kusikojulikana.

na ukikataa elimu na maarifa,umechagua ujinga.

Ngoja nimstue mzee baba tuone ni jinsi gani tunafunga mipaka ili kuzuia wakenya wasije wakatuambukiza.
 
Back
Top Bottom