Corona: Kenya yagundua vipimo vya Corona vinatoa majibu tofauti, wakubaliana na Magufuli

Corona: Kenya yagundua vipimo vya Corona vinatoa majibu tofauti, wakubaliana na Magufuli

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE: Ngoma ya watoto haikeshi, sikio halizidi Kichwa. Magufuli hoyeeeeeeeee!

=====

Kenyan laboratories are on the spot after giving contradicting results on two suspected cases of Covid-19. This is after two house workers went for testing in order to give their bosses confidence by confirming to them that they are free of Covid-19. Unfortunately, Lancet Laboratory, one of the best laboratories in Kenya gave a positive result. The two people proceeded to Nairobi Hospital and KEMRI where the results were totally different. The results were negative. The bosses to these house workers also got tested and were also free of Covid-19.

Now Kenyans are worried about the credibility of the number of Covid-19 cases in the country. They have questioned how genuine are the results of those people who have been sent into quarantine if the laboratories can give two different results for the same sample.

The ministry of health has also confirmed that there are problems and errors in the testing process. They have assured that they are going to develop a protocol of quality assurance that will help in curbing the conflicting tests.

Many Kenyans have expressed disappointment by this revelation affirming that the Tanzania John Pombe was right when he confirmed that pawpaws were giving positive results. This therefore clears the doubt of the testing kits in the country.
 
Kuhusu nini? Maabara yenu ilikuwa na mashine mbovu mlipoitangazia dunia kwamba mmepima mapapai na mbuzi. Wataalamu hamkuwa nao wa kutosha, wasimamizi walikuwa wazembe hata kuhifadhi tu sampuli ilikuwa kama nyuklia science! [emoji1] Matokeo ya uchunguzi huo yaliripotiwa na waziri wenu Ummy Mwalimu, sio mabeberu. Tanzania laboratory for testing Covid-19 faulty, minister says
 
Vipi kuhusu maabara zenu zinazotoa majibu tofauti katika sampuli moja, tatizo ni nini?. Lazima mtaiga Tanzania katika kila kitu, sisi hutumia akili zetu, ninyi akili zenu bado zimeshikwa na wazungu, hamjiongezi hadi wazungu waseme.
 
Unaumwa, kutumia akili ni kuitangazia dunia kwamba mmepima mbuzi na mapapai mkitumia mashine mbovu? Au ni kufichua kwamba mlikosa wataalamu na kujiletea aibu kwa kuanika utepetevu na uvivu wenu hadharani? [emoji1] Kuna nini cha kuiga hapo? Tofauti na nyinyi ni kwamba Kenya tuna wataalamu wa kutosha, wazawa, na tunaendesha mambo yetu kitaaluma zaidi. Sio rais mzima na Phd yake ya kimagumashi anaanza kubweka bweka kwamba munahujumiwa na mabeberu, wakati mnajitafuna wenyewe. Majibu tayari unayo kwenye hiyo taarifa uliyoitupia humu, protokali za 'quality assuarance' lazima zitizamwe upya.

"They have assured that they are going to develop a protocol of quality assurance that will help in curbing the conflicting tests."
 
Ndicho alichokigundua Magufuli "way back" kwamba lazima kutakua na tatizo la Quality assuarance na akatoa maagizo kwamba uchunguzi ufanyike kubaini tatizo lipo wapi.

Tatizo ninyi hamna akili, "Quality" ya maabara inahusu kuangalia "Chain" nzima kuanzia jinsi "sample" inavyochukuliwa, inavyohifadhiwa, inavyosafirishwa hadi inavyopimwa, tatizo linaweza kuwa ni vifaa au watu, au mfumo.

Tanzania tuligundua tatizo lilikua kwenye mashine. Hiyo "Quality assuarance " mnayoifanyia kazi leo, sisi tulikwisha liona hilo miezi miwili nyuma,. Ninyi ndio kwanza mnaliona Leo baada ya kupima watu zaidi ya 90K.

What can Magufuli see while sutting, Uhuru Kenyatta needs to be on top of mount Kenya to see it. Magufuli hoyeeee
 
Kuhusu nini? Maabara yenu ilikuwa na mashine mbovu mlipoitangazia dunia kwamba mmepima mapapai na mbuzi. Wataalamu hamkuwa nao wa kutosha, wasimamizi walikuwa wazembe hata kuhifadhi tu sampuli ilikuwa kama nyuklia science! [emoji1] Matokeo ya uchunguzi huo yaliripotiwa na waziri wenu Ummy Mwalimu, sio mabeberu. Tanzania laboratory for testing Covid-19 faulty, minister says
Vipi kuhusu huko Kenya?

Kwanini vipimo vitoe majibu tofauti kwa watu wale wale?
 
Kuhusu nini? Maabara yenu ilikuwa na mashine mbovu mlipoitangazia dunia kwamba mmepima mapapai na mbuzi. Wataalamu hamkuwa nao wa kutosha, wasimamizi walikuwa wazembe hata kuhifadhi tu sampuli ilikuwa kama nyuklia science! [emoji1] Matokeo ya uchunguzi huo yaliripotiwa na waziri wenu Ummy Mwalimu, sio mabeberu.
Sawa, ninyi wenye maabara nzuri na wataalamu wazuri endeleeni kupima mara mbili mbili hadi tatu kwenye laboratory tofauti
 
Ndicho alichokigundua Magufuli "way back" kwamba lazima kutakua na tatizo la Quality assuarance na akatoa maagizo kwamba uchunguzi ufanyike kubaini tatizo lipo wapi.Tanzania tuligundua tatizo lilikua kwenye mashine. Hiyo "Quality assuarance " mnayoifanyia kazi leo, sisi tulikwisha liona hilo miezi miwili nyuma,. Ninyi ndio kwanza mnaliona Leo baada ya kupima watu zaidi ya 90K.
What can Magufuli see while sutting, Uhuru Kenyatta needs to be on top of mount Kenya to see it. Magufuli hoyeeee
Upambavu, tatizo nchini Tz halikuwa kits za kupima COVID-19, tatizo lilikuwa mashine ambayo mlikuwa nayo tangia hapo awali. Mashine ambayo hamkuifanyia repair kwa miaka mingi. Ongeza juu yake uhaba wa wataalamu na uvivu na utepetevu wa wasimamizi wa maabara hadi kwenye kuhifadhi tu sampuli. Mbona hujataja 'quality assuarance', kabla sijakufahamisha kuhusu suala hilo? 😀 Kwa kifupi, usanii ndio ulikuwa unaendelea kwenye maabara yenu kuu sio upimaji wa sampuli.
 
Vipi kuhusu huko Kenya?
Kwanini vipimo vitoe majibu tofauti kwa watu wale wale?
Hilo swali litajibiwa na wataalamu, kuna scenario nyingi sana ambazo zinaweza zikaibua vitu kama hivyo. Hata kwenye vipimo vingine iwe typhoid, HIV au Malaria. Nchini Kenya hiyo ni fani wa wataalamu na watafiti na wizara ya afya. Hutamsikia rais Uhuru Kenyatta akiagiza mapapai yapimwe wala hutamsikia akianza kuimba wimbo wa kuhujumiwa na mabeberu.
 
Sawa, ninyi wenye maabara nzuri na wataalamu wazuri endeleeni kupima mara mbili mbili hadi tatu kwenye laboratory tofauti
Kwa taarifa yako sampuli zote za Corona, duniani kote, huwa zinapimwa mara zaidi ya moja, inaitwa 'confirmatory test'. Ndio maana tangu awali nilikuwa nawashangaa na usanii wenu wa maabara yenu moja tu jijini Dar. Maabara yenye mashine mbovu, 'wataalamu' wavivu ambao hawajakidhi vigezo vya kuitwa wataalamu, tena maabara yenye uwezo wa kupima sampuli 300 tu kwa masaa 24! Alafu nchini Kenya maabara mawili tu sasa hivi ndio yanaangaziwa kuhusu hayo matokeo yao. Hivi wiki hii Tz mmepima sampuli ngapi, na zilizopatikana +ve zilikuwa ngapi? Au hata kuhesabu tu sampuli pia ni kibarua kigumu?
 
Andika kiswahili cha ki Kenya ili kiendane na ujumbe wako maana unachojitahidi ni kuandika vizuri tu, ila ujumbe ni mashudu.
Tulia sindano ikuingie vizuri, hapa kwenye jukwaa hili huwa tunashirikisha ubongo. Hapa hatupo kwenye vile vikao vyenu vya wanalumumba, vya kupiga push up. Najua ni ngumu kumeza ila Kubali kiaina. [emoji1]
 
, tatizo nchini Tz halikuwa kits za kupima COVID-19, tatizo lilikuwa mashine ambayo mlikuwa nayo tangia hapo awali. Mashine ambayo hamkuifanyia repair kwa miaka mingi. Ongeza juu yake uhaba wa wataalamu na uvivu na utepetevu wa wasimamizi wa maabara hadi kwenye kuhifadhi tu sampuli. Mbona hujataja 'quality assuarance', kabla sijakufahamisha kuhusu suala hilo? 😀 Kwa kifupi, usanii ndio ulikuwa unaendelea kwenye maabara yenu kuu sio upimaji wa sampuli.
Hujui maana ya "Quality assurance". Magufuli aliposema sema kwamba " Huenda tatizo lipo kwa watu wanaopima, au vifaa vinavyotumika kupima, au kuna hujuma' alikua anazungumzia" Quality assistance", hayo maeneo aliyoyataja na kutaka yachunguzwe ndio kufanya "Quality assistance" au ulitaka atumie Kiingereza, Nina uhakika hujui maana ya "Quality assuarance"

Kuhusu mashine iliyogundulika kwamba inamatatizo, ni miongoni mwa mashine zilizosambazwa na WHO kwa nchi zote toka China, sio MASHINE za zamani, ndio sababu mkui wa WHO kanda ya Africa alijibu na kutetea kwamba mashine walizozileta Tanzania ni sawa na mashine walizozisambaza nchi zingine.

Lazima mkubali kwamba Tanzania inawazidi sana kwa akili ndio sababu kila mnalolifanya, sisi tumeshaliona siku nyingi, kuanzia "lockdown &Curfew" ambazo sasa hazina maana na Wakenya wengi wanalalamika, hadi kufungua anga ili kuruhusu ndege kuingia nchini, lazima sisi tunaanza, ninyi mnaiga.

Hili la mashine kuonyesha majibu tofauti ndio limeonyesha mlivyo wajinga, ina maana ndani ya miezi mitatu hamkugundua hilo tatizo ndio mnagundua sasa hivi?. Failed state.
 
Kwa taarifa yako sampuli zote za Corona, duniani kote, huwa zinapimwa mara zaidi ya moja, inaitwa 'confirmatory test'. Ndio maana tangu awali nilikuwa nawashangaa na usanii wenu wa maabara yenu moja tu jijini Dar. Maabara yenye mashine mbovu, 'wataalamu' wavivu ambao hawajakidhi vigezo vya kuitwa wataalamu, tena maabara yenye uwezo wa kupima sampuli 300 tu kwa masaa 24! Alafu nchini Kenya maabara mawili tu sasa hivi ndio yanaangaziwa kuhusu hayo matokeo yao. Hivi wiki hii Tz mmepima sampuli ngapi, na zilizopatikana +ve zilikuwa ngapi? Au hata kuhesabu tu sampuli pia ni kibarua kigumu?
Wacha kuzungumza vitu usivyojua, confirmatory test lengo lake ni "To confirm " not to contradict. Yaani kama kipimo cha awali kimesema ni positive, Confirmatory test lengo ni kuthibitisha kwamba kweli ni "positive", lakini jibu likitoka kuwa ni " Negative" basi hiyo haijaconfirm badala yake "Ni contradiction", hivyo lazima kuna tatizo linalohitaji kutafutiwa ufumbuzi.

Magufuli alipopeleka " samples " za wanyama na papai, alitegemea "Negative results" hiyo ndio ange "Confirm" kwamba vifaa vipo vizuri, Kitendo cha matokeo kuwa "Positive" , hiyo ni contradiction, lazima kutafuta tatizo lilipo.

Itawachukua muda mrefu sana kuweza kufikia uwezo wa watanzania wa kufikiria na kuona mbali, mtaendelea kuiga kila tunalofanya.
 
Kwa taarifa yako sampuli zote za Corona, duniani kote, huwa zinapimwa mara zaidi ya moja, inaitwa 'confirmatory test'. Ndio maana tangu awali nilikuwa nawashangaa na usanii wenu wa maabara yenu moja tu jijini Dar. Maabara yenye mashine mbovu, 'wataalamu' wavivu ambao hawajakidhi vigezo vya kuitwa wataalamu, tena maabara yenye uwezo wa kupima sampuli 300 tu kwa masaa 24! Alafu nchini Kenya maabara mawili tu sasa hivi ndio yanaangaziwa kuhusu hayo matokeo yao. Hivi wiki hii Tz mmepima sampuli ngapi, na zilizopatikana +ve zilikuwa ngapi? Au hata kuhesabu tu sampuli pia ni kibarua kigumu?
Sawa, zungumzia hao house maids wa Kenya, maana hiyo ndio habari kuu iliyoletwa.
 
Wewe ni mjinga huna akili kwasababu hujui maana ya "Quality assurance". Magufuli aliposema sema kwamba " Huenda tatizo lipo kwa watu wanaopima, au vifaa vinavyotumika kupima, au kuna hujuma' alikua anazungumzia" Quality assistance", hayo maeneo aliyoyataja na kutaka yachunguzwe ndio kufanya "Quality assistance" au ulitaka atumie Kiingereza, Nina uhakika hujui maana ya "Quality assuarance"

Kuhusu mashine iliyogundulika kwamba inamatatizo, ni miongoni mwa mashine zilizosambazwa na WHO kwa nchi zote toka China, sio MASHINE za zamani, ndio sababu mkui wa WHO kanda ya Africa alijibu na kutetea kwamba mashine walizozileta Tanzania ni sawa na mashine walizozisambaza nchi zingine.

Lazima mkubali kwamba Tanzania inawazidi sana kwa akili ndio sababu kila mnalolifanya, sisi tumeshaliona siku nyingi, kuanzia "lockdown &Curfew" ambazo sasa hazina maana na wakenya wengi wanalalamika, hadi kufungua anga ili kuruhusu ndege kuingia nchini, lazima sisi tunaanza, ninyi mnaiga.

Hili la mashine kuonyesha majibu tofauti ndio limeonyesha mlivyo wajinga, ina maana ndani ya miezi mitatu hamkugundua hilo tatizo ndio mnagundua sasa hivi?. Failed state.
Unatumia nguvu kubwa kumuelewesha.

Achana naye huyo ila moyoni kashaelewa a nacho bwabwaja sasa hivi ni vile hataki kubali walishafeli kitambo na wanakimbilia kutangaza idadi ya watu wengi ila wapate mikopo na misaada
 
Unaumwa, kutumia akili ni kuitangazia dunia kwamba mmepima mbuzi na mapapai mkitumia mashine mbovu? Au ni kufichua kwamba mlikosa wataalamu na kujiletea aibu kwa kuanika utepetevu na uvivu wenu hadharani? [emoji1] Kuna nini cha kuiga hapo? Tofauti na nyinyi ni kwamba Kenya tuna wataalamu wa kutosha, wazawa, na tunaendesha mambo yetu kitaaluma zaidi. Sio rais mzima na Phd yake ya kimagumashi anaanza kubweka bweka kwamba munahujumiwa na mabeberu, wakati mnajitafuna wenyewe. Majibu tayari unayo kwenye hiyo taarifa uliyoitupia humu, protokali za 'quality assuarance' lazima zitizamwe upya. "They
have assured that they are going to
develop a protocol of quality
assurance that will help in curbing the conflicting tests."
What are your watalamus do you have ,and how advanced are you while the whole country is fully controlled and dragged into mud by western powers. The Kenyan ruling class listens more on what their western masters want than what the peoples of Kenya needs. Watu mumekua quarantined for 3 months now lakin infection keeps skyrocketing. Does anyone of you so called experts read the graph thoroughly and understand the reason why and how to do to tackle it? Do they make any comparative analysis between the level of infection in confined society and non confined one?

How about the accumulated loan to overcome the pendemic do you see the loan serving anything to reduce the infection or just because the Kenyan taxpayer will bear the burden? You should stop your nonsense arrogance and analyze where your country is heading ,because the confinement is bringing more misery to normal Kenyan, the business are shrinking and people are only eating without producing ,the tourism sector on which once you used to sing everyday is in ICU today.

Please wake up, understand how the world system is working., tell your leaders to listen to your people rather than the western masters who are playing on your mind. Those who made the covid test kit and machines do not want the covid 19 to be over so that they keep sucking even your little money you have. Kenya is not yet free, very sad, the leadership is betraying the masses. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Africa
 
Back
Top Bottom