Corona: Kenya yagundua vipimo vya Corona vinatoa majibu tofauti, wakubaliana na Magufuli

Raisi magufuri anatakiwa kuombwa msamaha na wale wote waliomkejeri.
 
Na baada ya uchunguzi ikasemekana mashine ndio mbovu
 
Hata South Africa wametoa protocol ya ukipimwa mara mbili au zaidi na upatikane negative na kwengine positive, wamesema +ve case ina supersede negative... Hii ni baada ya kuonekana kote duniani kwamba kwavile badoc orona ni ugonjwa mpya, vipimo vyake bado si 100% kwahivyo sometimes kutapatikana false negative (ambayo ni hatari zaidi) au false positive ni jambo ambalo linatarajiwa....

Lakini watanzania, hamfai kuchukulia hii kama sababu ya kuchoma maabara na kutupilia mbali kesi zote za corona....
Hizo test kits za corona zinaambiwa ziko 90% accurate, na kuna test kits zengine hata ziko 70% accurate, hili ni jambo ambalo hata WHO wametangaza... Itachukua mda kiasi kabla hizi protocol za testing ziboreshwe ili test iwe 100% accurate anu angalau 99%... Lakini in the mean time, kupima ndio njia mwafaka manake hata ndani ya 90% accuracy ni bora kuliko kutopima watu kabisa!
 
Hopeless comment. Are you still locked down you kunyaland?
 
Endeleeni kupima
 
Imenifanya nicheke sana yani wao ndiyo wanagundua leo [emoji23][emoji28][emoji1787][emoji6]
TUKISEMA MWENYEZI MUNGU AMETUJALIA WATANZANIA KUPATA RAIS BORA ZAID KULIKO WOTE DUNIANI WATU WANABISHA HAPO SASA WASEME TENA WAKENYA . mMwenyezi Mungu tunakusihi kwa huruma yako umjalie maisha marefu mpendwa Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli uliyetupatia wewe mwenyewe atuongoze Tanzania.
 
Hopeless comment. Are you still locked down you kunyaland?
Mkuu huyo ni mwendawazima achana naye hajui lolote Duniani kote wanamuongolea na kushangaa maajabu ya Rais Magufuli halafu yeye ana post pumba achana naye atakuchefua bure ndugu yangu
 
Kwenye sayansi hakuna kitu kama hiki, ili dawa au kipimo chochote kiweze kukubalika kutumika na WHO lazima kifikie "" required standard", kama ni 98% accuracy, haijalishi ugonjwa ni mpya au ni wazamani, wacha kuzungumza mambo kwa kufuata utashi wako.

Kama vipimo vitatoa majibu tofauti yenyekupishana kwa mgonjwa mmoja, lazima itafutwe njia ya kuhakikisha muafaka unapatikana, wakati huo huyo mgonjwa akihudumiwa kwa tahadhari kubwa kama vile ni "Positive" ili asipoteze maisha au kuwaambukiza wengine.

Lakini ikitokea Mara nyingi kwamba vipimo vinaonyesha matokeo yenye kutofautiana, hivyo vipimo havitumiki tena kwasababu vitakua vimepoteza sifa yake ya "Reliability", huwezi kuendelea kuvitumia tena.
 
Unaongea nini wakati hata hivi vitu vishapimwa na kudhihirishwa hata kumetokea standard formular ya kujulisha nchi husika kwamba ndani ya watu kadhaa unaopima, kuna wengine wana corona na watapatikana -ve , na kuna wengine hawana ila watapatikana -ve kwasababu ya hizi test kits zinazotumika kwa sasa haziko 100% accurate kwahivyo nchi zipime watu zikijua hivyo.





Kuna wakati flani hata W.H.O wenyewe waliamua kuongelea kuhusu hili,wakasema zile test kits zao zilidesigniwa ujerumani na zilifanyiwa quality control na kampuni tatu za kuaminika kwahivyo kulingana na wao, corona tests kua inaccurate inawezekana pia ikawa inasababishwa na incompetent medical personel wanaochukua samples vibaya au wanazi contaminate na pia reagents zinazonunuliwa na nchi zinaweza zikawa sub standard kusababisha vipimo kutoka tofauti........ Hayo yote tisa lakini kumi ni kwamba kwasasa bado dunia na madaktari hawajakua experts wa kupima huu ugonjwa, kwahivyo kuna kama 30% ya wanaopimwa wanapata matokeo ambayo siyo..




Utafiti unaonyesha under perfect laboratory quality controll test, hizo test kits zilizokua approved na WHO ni 100% accurate, lakini under real world condition, accuracy inashuka hadi between 66% to 80%! sasa hapo ongezea na uzembe wa madaktari Africa....
----------------



----------------------------------
Researchers at the Foundation for Innovative New Diagnostics, a nonprofit research center in Geneva, tested five COVID-19 RT-PCR tests and found that all five achieved 100% sensitivity on positive samples, and at least 96% specificity on negative samples in a laboratory setting.

In the real world, testing conditions and process are far from perfect, and accuracy suffers. Researchers still don’t know what the real-world false positive rate is, but clinical sensitivity of RT-PCR tests ranges from 66% to 80%. That means nearly one in three infected people who are tested will receive false negative results.
Collecting good samples is not easy
Most experts believe that problems with sample collection are the main culprit behind inaccurate testing. False negative results are likely occurring because health care providers aren’t collecting samples with enough of the virus for the tests to detect.

This can happen because someone doesn’t insert a swab deep enough in the nose or doesn’t collect enough of the sample. False negatives could occur if a person is tested too early or too late during their infection and there isn’t a lot of virus in their cells. And finally, errors can happen if a sample sits too long before being tested, which allows the viral RNA to break down.

Coronavirus tests are pretty accurate, but far from perfect

--------------




Na hii habari ulioleta si mara ya kwanza hili kutokea Kenya,last month madereva 9 wa Kenya walipatikana positive Uganda, waliporgeshwa Kenya na kupimwa na KEMRI wakapatikana wote -Ve, lakini bado wote waliekwa quaranteen manake tunaelewa hilo jambo la accuracy na mbali na hilo tumekubaliana na Uganda kwamba tutaheshimu tests zakutoka kwa mwenzake.
 
wewe si mkenya, acha usanii.
 
Tutaambiwa hata dawa unatakiwa kunywa za makampuni tofautitofauti ili kuhakikisha unapona, da.
 
Hakuna ugonjwa hapo, ni usanii mtupu. Njoo Tz uone tunavyojiachia, maisha yamerudi nomo kabisa.
 
Muda huo wa kuhakikisha kama kila kitu kinaenda sawa na hakuna udanganyifu autolee wapi huy Uhuru? Aache kunywa pombe na kuifisidi nchi ashughulike na afya zenu? Mapesa mlopewa kusaidia Corona hayaonekani yameenda wapi. Chai ya ofisi tu ni 4 million Kenyan Shilling, Bila shaka kuna wataalamu wa Chai na Wizara ya Lishe za maofisini ambao ndio wanaweza kutwambia zilitumikaje.

Hebu tuondolee utumbo wenu hapa. 😀
 
Haiwezikani hata siku moja ikatokea kwamba watu 9 wote wapimwe Uganda wagundulike ni Positive na wote warudishwe Kenya na wagundulike kwamba wote ni negative kwa sababu ya " inaccuracy " ya mashine za kupima.

Juzi ilitokea hivyo hivyo, kwamba madereva 19 wa Tanzania walipimwa Kenya na kugundulika kwamba ni positive, waliporudi Tanzania, wote wakagundulika kwamba ni Negative, hiyo maana yake hivyo vipimo vya Kenya na Tanzania accuracy ni 0%.

Any way umezungumza mambo mengi, jambo moja linajitokeza wazi ni kwamba, zaidi ya kusoma katika mitandao, hujui jinsi ya hivi vipimo vya sayansi vinavyifanya kasi
1)Hakuna kipimo chochote ambacho ni 100% accurate
2)Hakuna kipimo kinachokubalika kutumika ambacho accuracy yake ni chini ya 80%. Tofautisha kati ya accuracy inayosababishwa na MASHINE inayotumika na accuracy inayosababiswa na watu na collection of specimens
 
Unatumia nguvu kubwa kumuelewesha.

Achana naye huyo ila moyoni kashaelewa a nacho bwabwaja sasa hivi ni vile hataki kubali walishafeli kitambo na wanakimbilia kutangaza idadi ya watu wengi ila wapate mikopo na misaada
ahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…