Corona: Kenya yatamani kujifunza toka Tanzania. Malawi yaamua kutumia mbinu za Tanzania

Pigeni nyungu na tumieni vyakula asili kujenge Kinga at the same time follow instructions
 
Sa hasira za nini? Sa ninyi ambao hamkuficha data mmefikia wapi? Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Kama kuficha data imewasaidia watanzania na ww ficha data. Sass kibao kinawageukis ninyi ndio mnajichokea. Endeleeni na pima pima pima yenu sisi tushasahau yote hayo na hakuna anayeugua huku
 


Kenya ni taifa huru halipaswi kuingiliwa ktk mipango yake wala kubezwa ktk mipango yake.hakika UK amefanya vizuri. Mkae ndani mpaka sept au oktoba ndio mtoke maanna maambukizi ninya kasi mnoo hapo kenya nafikir ktk 10 Kenya itakuwepo na inafany vizuri mnooooo !! Yaan ni mfano wa kuigwa na mataifamengine ya Africa.
Watoto wanasoma through IPADs (online)
 
kenya yatamani kweli
 
Hivi rais wa kenya huwa habadiriki maana kichwa kinaniambia yupo toka ile nyimbo ya kigeugeu!.. ukihastle juu chini ili nivuke boda wana nigeukia!!.
Hivi rais wa kenya anatawala kwa muda gani maana sielewi..!!
 
kenya yatamani kweli
Aibuuu, mlikua mnasema Tanzania itakua ni Italy ya Africa, sasa hivi Kenya ndio itakua ni US ya Africa kutokana na ujinga wenu, kumbe ndio sababu hata rushwa na ukabila vinawashinda kupambana navyo, hovyo sana ninyi watu.
 
Alaaa kumbe mlipoteza mafuta bure
Eti tulipoteza mafuta bure, mawazo ya kimaskini kabisa. Unawaza mafuta? Unajua information waliyoiextract from madagascar. Can be worth kushinda hayo mafuta.
 
joto la jiwe,

Tuwaige kununua dawa za Madagascar[emoji23][emoji23]
Wewe kichwa mbuzi sisi tulichukua dawa ya madaga.... Kwa ajili ya majsribio tu tumesha achana nayo baada ya kugundua aina ufanisi tunazo dawa zetu zenye ufanisi hadi mabeberu wameanza kutuma majasusi kwa siri kwa sababu ya kuona aibu kutaka kujua VP korona imetii kwa Tz maana walitukana sana serikali na nchi yetu baadhi ya mabeberu waliotuma watu ni
Marekani
Uingereza
China
Italy
Nk...
 
masikini manyang'au yanataabika na corona!

Nasikia wameambiwa waendelee kuvaa mabarakoa ili wawe weupe kama Trump!

Duuuuhh!
 
Alaaa!!uliiona we na nani hyo dawa km haina ufanisi?
Alafu mbona yule waziri wenu kaibugia kabisa kule kule km ilkua bado hamjaipima na kugundua km inafaa..
 
Eti tulipoteza mafuta bure, mawazo ya kimaskini kabisa. Unawaza mafuta? Unajua information waliyoiextract from madagascar. Can be worth kushinda hayo mafuta.
Sasa hayo mawazo yako ndio ya kifujara kabisa..
Alafu utamskia mbenguaji wa ccm, eti tumewaiga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…