johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muulize Trump huko uliko bwashee!
Mate makohozi na yatokanayo na chafya yaweza kwenda mbali zaidi kutegemea uelekeo wa upepo, mwinuko n.k.Nimeikuta hii kwenye makala moja ya kitabibu kwamba kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa Covid 19 kina uwezo wa kusafiri umbali wa futi 13.
Hivyo wataalamu hao wanashauri kàtika mkusanyiko wowote umbali kati ya mtu na mtu kwa kila upande ili kujilinda na maambukizi ni lazima uwe mita 4 au zaidi.
Hivyo uwapo kwenye mkusanyiko wowote chukua tahadhari hiyo ili Ujilinde wewe mwenyewe na Umlinde mwenzio.
Mungu awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Hewa inakisafirisha.
Ndio maana wamesema kwenye mikusanyiko siyo juu ya miti!Mate makohozi na yatokanayo na chafya yaweza kwenda mbali zaidi kutegemea uelekeo wa upepo, mwinuko n.k.
Mfano kutoka ghorofani mate yaweza kwenda zaidi ya mita 20 kama kuna upepo.
Hivyo umbali wa kusafiri utategemea mazingira na hali halisi.
Akili ya kawaida ni muhimu sana katika mapambano kuliko kukariri yanayosemwa au kuandikwa.
Mikusanyiko huhusisha wengine kuwa juu.Ndio maana wamesema kwenye mikusanyiko siyo juu ya miti!
Msikilize vizuri Askofu Gwajima wa kanisa la Ufufuo&Uzima utapata picha kama kirusi cha Corona kinaweza kuruka au la!