Corona; Mapambano ya kudhibiti maambukizi yapamba moto Tanzania

Corona; Mapambano ya kudhibiti maambukizi yapamba moto Tanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hakuna jiwe litakalosalia bila kuguswa, mapambano yanazidi kupamba moto kila kona ya nchi, japo Jirani wetu wa kaskazini anajaribu kupenyeza watu wake ili kutuletea virusi, lakini tutaendelea kuwakamata na kuwarudisha kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom