joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Apr 6, 2020 #1 Hakuna jiwe litakalosalia bila kuguswa, mapambano yanazidi kupamba moto kila kona ya nchi, japo Jirani wetu wa kaskazini anajaribu kupenyeza watu wake ili kutuletea virusi, lakini tutaendelea kuwakamata na kuwarudisha kwao. Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jiwe litakalosalia bila kuguswa, mapambano yanazidi kupamba moto kila kona ya nchi, japo Jirani wetu wa kaskazini anajaribu kupenyeza watu wake ili kutuletea virusi, lakini tutaendelea kuwakamata na kuwarudisha kwao. Sent using Jamii Forums mobile app