joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Naibu Rais William Ruto Alhamisi Agosti 20 alisema janga la coronavirus limegeuzwa kuwa sakata ya mabilioni ya pesa humu nchini. Ruto alisema baada ya janga hilo kufika nchini, liligeuzwa na kuwa biashara ya wachache kujipa hela kupitia ufisadi.
Ruto akisema hayo alikuwa anajibu taarifa ya gazeti moja la humu nchini ambalo lilichapisha habari na kumuangazia kama mtu aliyegeuzwa shabiki katika uendeshaji serikali.
'Wacha niendelee kama spectator,' Ruto asema coronavirus imegeuzwa sakata ya mabilioni
=======
My TAKE: Thing fall apart. Hii ndiyo nchi inayotaka kujilinganisha na Tanzania.