joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
In short, Kenya is a Failed state [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hon Ruto lazima atulie na akaye staili ya “HANDS AKIMBO” kwasababu wahusika wakuu wa ufisadi ya pesa za COVID19 ni kundi la the so called ‘HANDSHAKE’ kutoka ODM ndiyo maana huoni wala husikii kile kelele cha ‘serikali ya Jubilee’ imeshindwa kusimamia hela za Covid19!!! mpaka Baba yupo kimya! Handshake imefanya na kuwezesha ambao hawakuwa na usemi serikali kupata mwanya wa kula!! Husikii major opposition party ikiroroma tena baada ya kumshambulia Naibu wa Rais na kumtenga ili wapate nafasi ya kujinasafi(eat with comfort)[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]!!what an embarrassment for Jubilee!
Jamaa wamefeli vibaya....nchi inaekekea shimoni kwa sasa
In short, Kenya is a Failed state [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wazee wa kula ndumu
BAADA YA MIAKA 50 YA CHAMA KIMOJA TUMEFIKIA HAPA NA IKUMBUKWE 1960 TULIKUWA NA UCHUMI SAWA NA KOREA YA KUSINI SASA ANGALIA HIKI CHAMAKenya hakuna serikali bali kuna kikundi cha wahuni
Zooote ulizoandika hapa ni propaganda anazotegemea kuzitumia Tundu lisilonakitu kwenye kampeni ambazo hazina maana yoyoteBAADA YA MIAKA 50 YA CHAMA KIMOJA TUMEFIKIA HAPA NA IKUMBUKWE 1960 TULIKUWA NA UCHUMI SAWA NA KOREA YA KUSINI SASA ANGALIA HIKI CHAMA
HAKUNA UHURU WA MAONI
HAKUNA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
HAKUNA MIJADALA YA HOJA KWENYE MEDIA
MIHIMILI YA TAIFA HUTAWALIWA NA MTU MMOJA
RAIS AMEKUWA MFALME
DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI
UKANDAMIZAJI WA DEMOCRASIA
ELIMU MBOVU
AJIRA HAKUNA
FEDHA INASHUKA THAMANI
DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
AJIRA HAKUNA
UKANDAMIZAJI WA HAKI ZA BINADAMU
KESI LUKUKI ZA KUMBAMBIKIWA
SHERIA KANDAMIZI
DOLA IMEKUWA SEHEMU YA CHAMA
UMASIKINI UMEONGEZEKA
VIWANDA LUKUKI VIMEKUFA
BUNGE SIO LIVE TENA HATUONI WAWAKILISHI WETU WAKITUSEMEA MATATIZO YETU
MEDIA KUWA SEHEMU YA WATAWALA
MAISHA MAGUMU
UONGOZI KUWA NDO AJIRA
HOJA KUJIBIWA KWA RUNGU
WAPINZANI KUKANDAMIZWA
KUFUNGIWA MIKUTANO YA KISIASA
DINI KUTUMIKA KISIASA
USHAMIRI WA PROPAGANDA
UBAGUZI WA KISIASA NA KIITIKADI
RUSHWA IMEWALEMEA PCCB
MISHARA KUTOONGEZEKA NA MADARAJA KUTOPANDISHWA
BUNGE HALINA HESHIMA NA HALISIKILIZWI
KULAZIMISHA UPENDO KWENYE VYAMA
VITU KUPANDA BEI
HAKUNA MPANGO WA KUONGEZA WIGO WA BIASHARA KWA TAIFA
KODI KUTUMIKA KWA MATAKWA BINAFSI
HAKUNA MIIKO YA UONGOZI
MIUNDOMINU MIBOVU SUBIRI MVUA ZINYEESHE
MAFAO YA WAZEE TABU TUPU
KUNA KIKUNDI KINAITWA WASIOJULIKANA
KUTOPEWA DHAMANA KWA KOSA
UCHUMI KUDORORA
MZUNGUKO MDOGO WA SARAFU
KATIBA SI KITU TENA JAPO INAMAPUNGUFU LUKUKI
WAKULIMA WANALIA
UTEKAJI NYARA
UVAMIZI WA VIONGOZI NS HAKUNA HATUA MADHUBUTI
KUAMULIWA VIONGOZI
UKWELI NI DHAMBI KUU
KUKOSOA SERIKALI NI KOSA LA JINAI
MAITI KUCHUKUA HOSPITALI HELA KIBAO
MZAZI KUJIFUNGUA KWA OPERATION HELA KIBAO
USHIRIKA MBOVU NA MATAIFA YA NJE
UHUSIANO NA MAJIRANI UNAZOROTA
KODI KUBWA
TAASISI ZA SERIKALI MKANGANYIKO MF NIDA
KUPATA PASSPORT AU LESENI SHUGHULI
DAWA CHACHE
UKIMALIZA CHUO NI KUJIAJIRI HATA BODABODA
HAKI IMEKUWA KAMA PUNJE YA MCHANGA NDANI YA GUNIA LA CHUMVI
TUNAELEKEA KUWA KOREA KASKAZINI,TANGANYIKA YA NYERERE TUNAITAKA TUMECHOKA KWA KWELI.
SASA HAPA NDO TULIPO FIKIA
Huyo Tundu Kubwa wao wala asijisumbueZooote ulizoandika hapa ni propaganda anazotegemea kuzitumia Tundu lisilonakitu kwenye kampeni ambazo hazina maana yoyote
Colona imemzuia mr freedom kwenda jamaicaWazee wa kula ndumu
Thank you for supporting kenyan mediaNaibu Rais William Ruto Alhamisi Agosti 20 alisema janga la coronavirus limegeuzwa kuwa sakata ya mabilioni ya pesa humu nchini. Ruto alisema baada ya janga hilo kufika nchini, liligeuzwa na kuwa biashara ya wachache kujipa hela kupitia ufisadi.
Ruto akisema hayo alikuwa anajibu taarifa ya gazeti moja la humu nchini ambalo lilichapisha habari na kumuangazia kama mtu aliyegeuzwa shabiki katika uendeshaji serikali.
'Wacha niendelee kama spectator,' Ruto asema coronavirus imegeuzwa sakata ya mabilioni
=======
My TAKE: Thing fall apart. Hii ndiyo nchi inayotaka kujilinganisha na Tanzania.
Naibu Rais William Ruto Alhamisi Agosti 20 alisema janga la coronavirus limegeuzwa kuwa sakata ya mabilioni ya pesa humu nchini. Ruto alisema baada ya janga hilo kufika nchini, liligeuzwa na kuwa biashara ya wachache kujipa hela kupitia ufisadi.
Ruto akisema hayo alikuwa anajibu taarifa ya gazeti moja la humu nchini ambalo lilichapisha habari na kumuangazia kama mtu aliyegeuzwa shabiki katika uendeshaji serikali.
'Wacha niendelee kama spectator,' Ruto asema coronavirus imegeuzwa sakata ya mabilioni
=======
My TAKE: Thing fall apart. Hii ndiyo nchi inayotaka kujilinganisha na Tanzania.