johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu mkuu wa TEC padre Dr Charles Kitima amesema ili kuendana na maelekezo ya wizara ya afya katika kuikabili corona Kanisa Katoliki limebadili taratibu kadhaa za kiibada siku ya alhamis ya amri (kuu) na Ijumaa kuu.
Alhamisi zoezi la kiibada la kuoshwa miguu halitafanyika na Ijumaa kuu utaratibu wa kuushika na kuubusu Msalaba hautafanyika, amesema Padre Kitima.
Source Star tv
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka!