johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
..kwanini wasizuie kabisa ibada hizo.
..ni lazima tuchukue tahadhari zote ambazo ziko ndani ya uwezo wetu.
..hatuwezi kuzuia watu kwenda kutafuta riziko zao, lakini tunaweza kusitisha mikusanyiko yote ya kidini/ibada mpaka hali itakapotengemaa.
Kuzuia ibada ni hatua ya mwisho kabisa!..kwanini wasizuie kabisa ibada hizo.
..ni lazima tuchukue tahadhari zote ambazo ziko ndani ya uwezo wetu.
..hatuwezi kuzuia watu kwenda kutafuta riziko zao, lakini tunaweza kusitisha mikusanyiko yote ya kidini/ibada mpaka hali itakapotengemaa.
Katoliki na sadaka wapi na wapi?!Hizo Ibada zipigwe marufuku mpaka mwezi wa 4 mwakani...hata kama lengo nikukusanya sadaka
Jombaaa Sadaka hapo ndo hupigiwa hesabu..kwanini wasizuie kabisa ibada hizo.
..ni lazima tuchukue tahadhari zote ambazo ziko ndani ya uwezo wetu.
..hatuwezi kuzuia watu kwenda kutafuta riziko zao, lakini tunaweza kusitisha mikusanyiko yote ya kidini/ibada mpaka hali itakapotengemaa.
zinaanza ngazi ya jumuia na hata jpl ole wako utoe coin badala ya noti. hakuna kanisa lisilotoza sadaka.Katoliki na sadaka wapi na wapi?!
Ukitoa coin wanakufanyajezinaanza ngazi ya jumuia na hata jpl ole wako utoe coin badala ya noti. hakuna kanisa lisilotoza sadaka.
wanaona kama hujatoa kitu wanshimdwa kukumbuka uke mfano wa yule mama kwenye biblia
Wewe siyo mkatoliki. Waachie wakatoliki wafanye kile wanachoona kinafaa kama kundi na pia kwa mtu mmojammoja. Mungu awape hekima ya kupanga yanayofaa kwa usalama wao na wa jamii nzima...kwanini wasizuie kabisa ibada hizo.
..ni lazima tuchukue tahadhari zote ambazo ziko ndani ya uwezo wetu.
..hatuwezi kuzuia watu kwenda kutafuta riziko zao, lakini tunaweza kusitisha mikusanyiko yote ya kidini/ibada mpaka hali itakapotengemaa.
Amen!Wewe siyo mkatoliki. Waachie wakatoliki wafanye kile wanachoona kinafaa kama kundi na pia kwa mtu mmojammoja. Mungu awape hekima ya kupanga yanayofaa kwa usalama wao na wa jamii nzima.
Amen
AmenKuna kanisa nilipita nje jumapili iliyopita nikaona meseji imeingia inasomeka ile sadaka ya leo tuma namba hii kabla hujaingia kanisani
Mtatuua na njaa. Sadaka itakuwaje?..kwanini wasizuie kabisa ibada hizo.
..ni lazima tuchukue tahadhari zote ambazo ziko ndani ya uwezo wetu.
..hatuwezi kuzuia watu kwenda kutafuta riziko zao, lakini tunaweza kusitisha mikusanyiko yote ya kidini/ibada mpaka hali itakapotengemaa.
Watu wanapata sadaka Za kusomesha watoto st.marry ,feza schoolshizo ibada zinasaidiaa nini
Wewe siyo mkatoliki. Waachie wakatoliki wafanye kile wanachoona kinafaa kama kundi na pia kwa mtu mmojammoja. Mungu awape hekima ya kupanga yanayofaa kwa usalama wao na wa jamii nzima.
Amen
Acheni dhihakaHizo Ibada zipigwe marufuku mpaka mwezi wa 4 mwakani...hata kama lengo nikukusanya sadaka
Hapo ni sawa waseme tu hakuna ibada alhamisi kuu Wala ijumaa kuu,,,Mana hayo matendo ndio yanaongoza ibada yenyewe,,,wafute tu kuondoa mikusanyiko.Katibu mkuu wa TEC padre Dr Charles Kitima amesema ili kuendana na maelekezo ya wizara ya afya katika kuikabili corona Kanisa Katoliki limebadili taratibu kadhaa za kiibada siku ya alhamis ya amri (kuu) na Ijumaa kuu.
Alhamisi zoezi la kiibada la kuoshwa miguu halitafanyika na Ijumaa kuu utaratibu wa kuushika na kuubusu Msalaba hautafanyika, amesema Padre Kitima.
Source Star tv
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka!