CORONA VIRUS: Inawezekana watu wakahama Dunia

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Niliwahi sema hili kipindi fulani kuwa tutafute pesa kuna siku zitafika dunia haitakuwa sehemu salama kuishi hapo tutatakiwa kuhamia sayari nyingine.

Mimi nmejiandaa tayari leo nimekamilisha shopping yangu hata wakitaka nikae ndani miezi sita/mwaka bila kutoka hamna shida.

1. Nimenunua vyakula vingi natural, vya box, kopo na chupa.

2. Mchele nmenunua gunia mbili
3. Sukari kilo 50
4. Cooking oil 60 litres
5. Maharage kilo 50
6. Nyama fresh kilo 50 na za kopo cartons 10
7. Samaki fresh kilo 20 na wakopo cartons 8
8. Nyanya za kopo
9. Viungo mbalimbali
10. Juice Ceres Cartons 10 ( Napenda sana juice huko mbeleni tunaweza kosa juice fresh.)
11. Nimenunua chupa kadhaa za wines. Sweet wine na some other drinks in bulk.

12. Crackers, Chocolates, Biscuits, cartons za maji nying sana na vinywaji mbalimbali, maziwa ya kopo makubwa mengi tu.

Umeme nimeweka waTtsh 1,500,000 kwa kuanzia.

Mitungi ya gesi nimenunua 15 You never know.

Gari zangu zote 5 za Ulaya na Marekani nimejaza full tanks.

Nimenunua na generator na diesel mapipa 2 sawa na lita 200. Ziwepo tu standby.

Petrol nimekuwa muoga kidogo kukaa nayo home. Alhamis nliomba kiasi kikubwa cha pesa bank tsh na USD.

Leo wamenipigia simu nikatoe baada ya kujiridhisha na serikali kutoa go ahead.so nazo nimeamua niziweke tu kwenye safe hapa home just in case.

Kiuhalisia hata ikitokea wakasema mwaka au miezi sita tusitoke ndani mi kwangu hamna shida. Napenda kukaribisha mdau ambaye pia atapenda kuja kutulia home akisubiri Corona ipite, sina tatizo nipo Oysterbay.

Jamani jiandaeni na corona its real not a joke wadogo zangu wananambia its so serious mmoja yupo Canada mwingine USA two weeks ago alikuwa Sweden.

Baba na mama wameenda kwenye nyumba yao nyingine huko London UK. Mimi ndo wananishangaa nakaa bongo. Anyway nimewapa hizo tips mjipange.

Kesho nadhani naweza enda tena supermarkets kadhaa kuongeza some stuff.

Wakati nanunua manager wa supermarket moja pale MCITY aliniuliza nataka nikafungue supermarket. Nikamwambia hapana ni kwa ajili ya matumizi tu. Kashangaa mpaka miwani imemdondoka maana ilibidi waje wasaidizi wake kama 15 hivi kusukuma yale matoroli.

Walisuggest kama vipi niingize gari ndani maana mzigo ulikuwa mkubwa sana.niliwaambia wasijali maana nlikuja na zile gari za mizigo isingekuwa busara kuiingiza ndani.
 
Kwa hivyo vyakula utakufa na kisukari
 
Nimecheka sana hii story ya kubumba ,ila kwa mastori viksi uko vizuri sana [emoji23][emoji23][emoji23]raha sana kukusoma
 
πŸ€” COVID-19 ni maandalizi na mazoezi ya wakazi wa Dunia hii kujiandaa kwenda kuishi kwenye sayari nyingine hasa ile ya Mars. Kaeni chonjo, miaka miwili ijayo kutakuwa na vituo vya makazi mwezini na sayari ya Mars ambapo kukaa kwenye upweke bila msongamano wa watu ndio kigezo.
 
Ila we jamaa bna..hata hivyo japo ni changamsha genge lakini inafikirisha sana..nimecheka sana hapo mwisho kwamba mpaka Manager miwani ikamuanguka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…