CORONA VIRUS: Inawezekana watu wakahama Dunia

Dah....safi sana...hiyo ndiyo inavyotakiwa....ila hapo kwenye diesel naona wajanja wamekupiga...pipa 2 ni lita 400 siyo lita 200 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mkuu nakuja Dm.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujastock toilet papers kama majinuni wenzako?
 
Nimecheka peke yangu kama kichaa🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Kijana punguza kujimwambafy kwenye issue zilizo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…