CORONA VIRUS: Inawezekana watu wakahama Dunia

mitungi ya gesi itakulipukia shauri yako utaikimbia nyumba na kuingia uraiani na kuikuta korona inakuchekea hahahahahahahaaaah!
 
Wakati nasoma sikuwa nimeangalia mwandishi, nikahisi ni jambo la maana, lakini nilipofika katikati ikabidi fasta nirudi juu kuangalia mwandishi, dah kumbe ni Lilo, hongera lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha chai imezidi chumvi lol [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho naenda tena.kuna vitu vya kuongeza.kuna chumba kimoja nacho nimeamua kiwe store.maana store imejaa sana.
😁😁😁😁😁asante nilikuwa nimesubiri huu uzi
 
Ita waandishi wa habari ugawe msaada make kama ni issue ya CORONA hospital zishaanza kufungwa.
Soon shule zitafunguliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mimi tu yaani huyu jamaa Ni stress free halafu isikute Hata hela ya wiki hana.BUT anaelekea anasoma sana story za watu waliofanikiwa atafanikiwa kwa maono yake haya
Hahaha we kiduku lilo yaani ni m*** nimesoma bila kujua kaandika nani ila nilipo fika sehemu ulio andika gari zangu tano za ulaya nika hisi harufu yako kupanda juu kuangalia jina shaabashi....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAona agent unataka kutukamata kiulainiii.

Pumbavu.
Mwambie aliyekutuma kuwa hapa JF tuna akili kuliko nyie mburula wote wa hapo makumbusho.
Shenzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…