Ameuliza habari ya vita ya kiuchumi ,unaleta hoja zingine, tueleweshane hapo kwanza.Wewe nawe tumekuchoka na vi thread vyako, yani tangu mwaka jana wewe ni corona tu.
Acha ujinga na upumbavu kijana chapa kazi corona hiyo itaondoka na kukuacha maskini maana unaiogopa sana.
Hapo hujamsaidia mleta mada. Anatakujua huyo adui tunaepigana nae ni nani? Akimtambua itakua rahisi kwake nae kushiriki. Si unaona hata simba na yanga wanavaa jezi tofauti? Bila kumtambua adui tunaweza kugongana wenyewe mkuu. Huyo adui ni yupi?Wewe nawe tumekuchoka na vi thread vyako, yani tangu mwaka jana wewe ni corona tu.
Acha ujinga na upumbavu kijana chapa kazi corona hiyo itaondoka na kukuacha maskini maana unaiogopa sana.
Asnt, nimekusoma.mfugale flyover na zile ndege zilizonunuliwa cash zimetikisa dunia nzima haswa mabeberu na zahanati 361 ,viwanda 8000,ajira milioni 6,elimu bure,kushuka kwa mfumuko wa bei,stendi za kisasa ,mabeberu yanahaha sana
Utaiheshimu siku imekugalagazaWewe nawe tumekuchoka na vi thread vyako, yani tangu mwaka jana wewe ni corona tu.
Acha ujinga na upumbavu kijana chapa kazi corona hiyo itaondoka na kukuacha maskini maana unaiogopa sana.
Mbona wewe pia huwa unapost makapi kila kukicha?Wewe nawe tumekuchoka na vi thread vyako, yani tangu mwaka jana wewe ni corona tu.
Acha ujinga na upumbavu kijana chapa kazi corona hiyo itaondoka na kukuacha maskini maana unaiogopa sana.
Inaelekea imetumwa na wapinzaniUkikua utajua kwanini hii inaiwa ni vita ya kiuchumi, kwa sasa endelea kunywa uji.
Mkuu huyo ni zaidi ya wapigania tumbo tu yaani yupo hapo kwa ajili ya buku 7 za lumumba.Ameuliza habari ya vita ya kiuchumi ,unaleta hoja zingine, tueleweshane hapo kwanza.
Duuuuuuu ina mabeberu wamepagawa?Mfugale flyover na zile ndege zilizonunuliwa cash zimetikisa dunia nzima haswa mabeberu na zahanati 361, viwanda 8000,ajira milioni 6, elimu bure, kushuka kwa mfumuko wa bei,stendi za kisasa, mabeberu yanahaha sana
Wewe mwenyewe ni ngumbaru tuUngelikuwa unajua uchumi wewe, usingekuja na mada inayokuchora namna hii. Hii nikwa kuwa una upeo mdogo sana unaoishia kwenye kulima korosho na kusafirisha makinikia. Ninashauri Dr. Magufuli anzishe elimu ya ngumbaru kwa kujenga uelewa kwa wanaojua kusoma na kuandika.
Magufuli kafeli kila kituMabibi na mabwana, kumekuwa na habari hii kuwa ugonjwa huu ni vita vya kiuchumi. Tena mlengwa ni Tanzania...