Corona: Vita ya kiuchumi Tanzania dhidi ya nani?

Usipoelewa sasa utaelewa baadaye
 
Usipoelewa sasa utaelewa baadaye

Umeshindwa kuonyesha adui ni nani sasa unaleta ngonjera zile zile tulilozo zizowea

Swali liko wazi. Kwenye tunazoambiwa vita vya uchumi, maadui zetu ni nani?

Lengo tuwajue ili kwa pamoja tuwape kipigo kitakatifu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Na kwa kumalizia kuchangia hoja yako, huu utopolo unaoendelea wa kukana kwamba hakuna corona wala hatuhitaji chanjo, utatugharimu sana kwenye utalii na kwenye biashara, hasa tunaosafiri kwenda nje kikazi, kibiashara nk. Tutazuiwa sehemu nyingi sana na kuwekwa karantini kwa sababu tunaonekana hatuko serious katika kukabili corona kama nchi. Note this post
 
Bwana Yule ni muongo sana alisem siku ina saa zipatazo 48!

Na wale wanaoitwa mataga wamemwamini. Hivi sasa wanajua siku moja ina masaa 48.

Hakukosea aliyesema, "believe this, you will believe anything."

Tusubirie awaambie wao ni watoto wa punda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…