joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Mtakumbuka walivyokuwa wakimtukana na kumkejeli Magufuli alipokua akihimiza matumizi ya Limau na kujifukiza na kumfananisha na Kinjekitile, kabla ya hata Jua halijazama, wameamua kutumia dawa ile ile ya Kinjekitile Ngwale, ila wanatumia kimyakimya ili Kinjikitile asijue kwa kuogopa aibu na fedheha.
Hao ndio wakenya walivyo