joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kila mtu anafaidika wenye furaha ni Wakulima kwa kuzipata hela.Malimao huku Tanzania yamepanda bei sababu mengi yanaendana kwa manyang'au
Vipi mlipotucheka na kusema tunatumia dawa za Kinjekitile Ngwale tulipoimiza kutumia Limao na Tangawizi?Kila mtu anafaidika wenye furaha ni Wakulima kwa kuzipata hela.
Malimao huku Tanzania yamepanda bei sababu mengi yanaendana kwa manyang'au
Mnahisikiaje kuamua kutumia dawa ambazo mwanzoni mlitucheka na kutudhalilisha?ww oolisikia wapii...mheshimiwa?[emoji23]
madreva watz wamejaa karantiniii, wakiingia tuu nchini, mzigo unafaulishwa na wao wanaingia karantin! mle ndani kuna njemba zimejishindia wakee toka tz mazeee![emoji23]
Wewe uwe na adabuww oolisikia wapii...mheshimiwa?[emoji23]
madreva watz wamejaa karantiniii, wakiingia tuu nchini, mzigo unafaulishwa na wao wanaingia karantin! mle ndani kuna njemba zimejishindia wakee toka tz mazeee![emoji23]
Mbona hutaki kujibu swali?, mnajisikiaje kutumia dawa za Kinjekitile Ngwale?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mtu anafaidika wenye furaha ni Wakulima kwa kuzipata hela.
Kwn ulianza kuskia watu wanakula malimao wakati magufuli yupo madarakani[emoji23][emoji23]Mbona hutaki kujibu swali?, mnajisikiaje kutumia dawa za Kinjekitile Ngwale?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MY TAKE: Mtakumbuka walivyokuwa wakimtukana na kumkejeli Magufuli alipokua akihimiza matumizi ya Limau na kujifukiza na kumfananisha na Kinjekitile, kabla ya hata Jua halijazama, wameamua kutumia dawa ile ile ya Kinjekitile Ngwale, ila wanatumia kimyakimya ili Kinjikitile asijue kwa kuogopa aibu na fedheha.
Hao ndio wakenya walivyo
Mlipomuita ni Kinjekitile Ngwale kwa sababu alikua anahimiza matumizi ya Limao na Tangawizi kama dawa ya Corona hamkulijua hilo?, mnaona msivyokua na akili?, Magufuli house[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwn ulianza kuskia watu wanakula malimao wakati magufuli yupo madarakani[emoji23][emoji23]
Malimao ni appetizer jomba, wengine haipiti wiki bila ya kutumia..
Sasa nakushngaa wews jamaa la kutoka bara
Malimao mjini tumeanza kula kitambo, labda we msukuma ndio ulianza kuskia kw magufuli..Mlipomuita ni Kinjekitile Ngwale kwa sababu alikua anahimiza matumizi ya Limao na Tangawizi kama dawa ya Corona hamkulijua hilo?, mnaona msivyokua na akili?, Magufuli house[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwanini mulimuita Kinjekitile?, kubali kwamba hamna akili lazima muige wazungu, sasa hivi mumeamua kuiga Magufuli baada ya wazungu kushindwa na Magufuli ktk kudhibiti Corona, wajinga sana ninyi, Magufuli hoyeeeeeeeeeMalimao mjini tumeanza kula kitambo, labda we msukuma ndio ulianza kuskia kw magufuli..
Tangawizi, iliki nk. Ni vitu ambavyo haipiti siku kutumia, sasa nakushangaa mm[emoji23][emoji23]
Reli muliiga chato[emoji23][emoji23]Sasa kwanini mulimuita Kinjekitile?, kubali kwamba hamna akili lazima muige wazungu, sasa hivi mumeamua kuiga Magufuli baada ya wazungu kushindwa na Magufuli ktk kudhibiti Corona, wajinga sana ninyi, Magufuli hoyeeeeeeeee