joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kifo cha mtoto wa Kerecho Breweries kilichotokea huko Lamu hivi majuzi kinatokana na Ugonjwa wa Corona na sio ajali kama ambavyo Serikali ya Kenya inajaribu kuficha
Vifo vitokanavyo na Corona vimeongezeka sana nchini Kenya na vingi hutokea nyumbani kwasababu wagonjwa wengi hasa kutoka Mombasa na eneo zima la pwani wamegoma kwenda Hospitalini kutokana na huduma duni na kunyanyapaliwa na wahudumu wa Afya.
Wakati Kenya ikitoa kipaumbele katika upimaji bila ya kuchukua hatua thabiti za kuzuia maambukizi yasizidi kuenea, wakenya na dunia inajiuliza kama kweli Serikali ya Kenya inajua nini inachotaka kukipata katika mapambano ya Corona, kwa sababu bado idadi ya wagonjwa na vifo vinazidi kuongezeka kwa kasi.