Corona: Wakenya waendelea kupukutika kwa kasi

Naona jamaa wa "Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kuzuia maambukizi na kuenea kwa Corona" amerejea baada ya kuzamia mafichoni kwa aibu nyingi. [emoji1] Mbona DCI wanafatilia postmortem ya mwili wa marehemu na kwanini postmortem inafanywa? Directorate of Criminal Investigations wanachunguza nini kuhusu kifo cha Tecra Muigai kama tayari wanajua kwamba ni Corona kama unavodai? What killed Keroche Breweries heiress? : The Standard
 
Hiyo ni cover up huyu alikuwa na coronavirus ilipomzidia akadondoka na bahati mbaya alikuwa ghorofani! Hata boyfriend yupo Quarantine sasa!
 
Ni kweli kabisa. Huyu jamaa alisepa wakati Tanzania iliovertake Kenya kwa number of cases. Alikuwa anasema hakuna haja ya mass testing.
 
hiyo ni cover up huyu alikuwa na coronavirus ilipomzidia akadondoka na bahati mbaya alikuwa ghorofani! Hata boyfriend yupo Quarantine sasa!
Leta ushahidi sio porojo, alafu hata kama ingekuwa ni Corona ndio imemuua yeye hatakuwa wa kwanza. Au mnaruka ruka kwasababu Keroche Breweries ni yao? Corona haibagui, kuna hadi Naibu gavana ambaye kwa bahati nzuri alipona. Huku Kenya hivyo sio vitu vya kuficha, au kusherehekea kama wachawi. Ingekuwa ni cover up ya kisisiemu wangemzika kisiri siri usiku wa manane bila postmortem, uchunguzi wala nini.
 
Ni kweli kabisa. Huyu jamaa alisepa wakati Tanzania iliovertake Kenya kwa number of cases. Alikuwa anasema hakuna haja ya mass testing.
Mass testing is useless without strategies, that's why Kenya is recording big number of new infections and deaths daily.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa walinipiga "ban" kwasababu nilizidisha "attacks" kwa wakenya, sasa hivi kidogo sitowashambulia sana, ila muwe na adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini wanatumia nguvu nyingi hivi wakati tayari mzee alisema kwamba Corona ni kashetani na dawa ni kuenda kanisani. Wamebackslide nini? 😀
Rudi katika uzi uliofunguliwa na mwenzenu unaosomeka "Baadhi ya wakazi wa Mombasa, jamani acheni ukaidi....", kesho soma post#7, utapata jibu la kwanini tunatumia nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa walinipiga "ban" kwasababu nilizidisha "attacks" kwa wakenya, sasa hivi kidogo sitowashambulia sana, ila muwe na adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi, aibu zilikuzidia baada ya kukurupuka bila kushirikisha ubongo. Hebu soma pumba zako humu, uone tulivokuwa tunajaribu kukuelimisha. Ulikuwa hadi na scoreboad ya vifo, ukiwabeza wakenya eti Kenya-90, Tz-32, bure kabisa! Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona - JamiiForums
 
Tupe link inayoonyesha serikali ya kenya inafanya mass testing ikienda nyumba kwa nyumba,na ilianza lini na mpaka sasa mmepima watu wangapi....Share link tu mkuu lengo na sie tuige mazuri ya kwenu.
 

Attachments

  • VID-20200506-WA0010.mp4
    8.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…