Naona wewe ndiye mtu aliye baleghe hapa. Upo mature sana. Humu jf kumejaa watotoHivi hamuoni haya kushindana nchi gani yenye Korona zaidi, hamjui watu wanakufa na korona hivyo siyo jambo la kushindana wala kutaniana? Ushetani huu unatoka wapi? Kwanza ni ujinga kabisa ukichukulia Korona ndiyo kwanza imeanza Afrika Mashariki, nyie mnaoshindana nchi gani imeathirika zaidi mna uhakika gani hamuwezi kuambukizwa? Acheni ufala, wote wakenya na watanzania, shindaneni na mengine yenye maendeleo kama mnataka.
ujinga hauna dawa!
Kifo cha mtoto wa Kerecho Breweries kilichotokea huko Lamu hivi majuzi kinatokana na Ugonjwa wa Corona na sio ajali kama ambavyo Serikali ya Kenya inajaribu kuficha
Vifo vitokanavyo na Corona vimeongezeka sana nchini Kenya na vingi hutokea nyumbani kwasababu wagonjwa wengi hasa kutoka Mombasa na eneo zima la pwani wamegoma kwenda Hospitalini kutokana na huduma duni na kunyanyapaliwa na wahudumu wa Afya.
Wakati Kenya ikitoa kipaumbele katika upimaji bila ya kuchukua hatua thabiti za kuzuia maambukizi yasizidi kuenea, wakenya na dunia inajiuliza kama kweli Serikali ya Kenya inajua nini inachotaka kukipata katika mapambano ya Corona, kwa sababu bado idadi ya wagonjwa na vifo vinazidi kuongezeka kwa kasi.
Tony254, ni matumaini yangu kwamba uliona ile post namba #7 kule kwenye ule Uzi wa mwenzenu unaozungumzia wakenya wa Mombasa wanaokataa kupima Covid.Naona wewe ndiye mtu aliye baleghe hapa. Upo mature sana. Humu jf kumejaa watoto
Hivi hata "Homicide " suspects pia wanapelekwa "Quarantine?", hiyo ni Covid-19 wacheni kuficha.ujinga hauna dawa!
HOMICIDE INVESTIGATIONS
Muigai's boyfriend Omar detained 21 days to allow cops probe death
Omar was arrested by detectives over suspicions he could've been involved in her death.
In Summary
• Tecra suffered cerebral-oedema resulting from a fall from a staircase at a house she shared with Omar in Lamu on April 27.
• Omar is said to have given differing accounts of Tecra’s death leading police to believe he was hiding something.
The late Tecra Karanja and Omar Lali.
Image: COURTESY
Omar Lali, the 54-year-old boyfriend of the late Tecra Karanja was on Monday presented at the Lamu law courts facing suspected murder charges.
Tecra, the daughter of Keroche Breweries CEO Tabitha Karanja, died last Saturday in an accident.
The court session took place via video link and was presided over by Lamu principal magistrate Allan Temba.
Tecra Muigai's boyfriend Omar detained 21 days to allow cops probe death
unaelewe ni nini kingine hakihitaji uvumi na ujinga-ukweliHivi hata "Homicide " suspects pia wanapelekwa "Quarantine?", hiyo ni Covid-19 wacheni kuficha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sant sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sababu Mo hakutekwa na Serikali, ila hao wengine walichukuliwa na kuhifadhiwa na Serikali, sasa ulitaka Serikali itafute watu ambao inajua walipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo saa tisa wamezika 67Ni kweli hawa watu wanaficha sana takwimu, nasikia kwa siku kule Mombasa wanazikwa si chini ya watu 70,hawa watu huu ugonjwa utawamaliza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!ulisema ni mali ya serikali tena umebadili gear eti inamilikiwa na watanzania chini ya uangalizi wa serekali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kweli we jomba ni form4 wa tanzania kikweli kweli..a typical kenyan std8, yani hujielewi km unataka nini katika comments zako..Unauliza swali au unajibu swali?. Ardhi yote ya Tanzania inamilikiwa na watanzania wote kwa pamoja chini wa uangalizi wa Serikali.
Mali ya familia inamilikiwa na familia kwa pamoja chini ya uangalizi wa wazazi ili kuhakikisha kwamba, kila mwana familia anafaidika sawa sawa bila uonevu wala upendeleo.
Unaweza kuuziwa au kupewa sehemu ya Mali hiyo chini ya masharti ili kuhakikisha kwamba hutoifuja na kuiuza kwa mtu wa nje ya familia bila hidhini ya wazazi, huo ndio ujamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kupindisha maneno, POLISI haina uwezo wala mamlaka ya kumuweka mtu kizuizini bila kumpeleka mahakamani.unaelewe ni nini kingine hakihitaji uvumi na ujinga-ukweli
HOMICIDE INVESTIGATIONS
Muigai's boyfriend Omar detained 21 days to allow cops probe death
Omar was arrested by detectives over suspicions he could've been involved in her death.
In Summary
• Tecra suffered cerebral-oedema resulting from a fall from a staircase at a house she shared with Omar in Lamu on April 27.
• Omar is said to have given differing accounts of Tecra’s death leading police to believe he was hiding something.
The late Tecra Karanja and Omar Lali.
Image: COURTESY
Omar Lali, the 54-year-old boyfriend of the late Tecra Karanja was on Monday presented at the Lamu law courts facing suspected murder charges.
Tecra, the daughter of Keroche Breweries CEO Tabitha Karanja, died last Saturday in an accident.
The court session took place via video link and was presided over by Lamu principal magistrate Allan Temba.
Tecra Muigai's boyfriend Omar detained 21 days to allow cops probe death
Ansbert Ngurumo
@ngurumo
Some high-profile personalities in Tanzania who have passed on within the past 48 hours. May they rest in eternal peace!
View attachment 1441777
Hahahaha, hebu sema Serikali ni nani, inachaguliwa na nani, inawekwa madarakani na nani ili kufanya nini?.Hahaaa!!ulisema ni mali ya serikali tena umebadili gear eti inamilikiwa na watanzania chini ya uangalizi wa serekali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kweli we jomba ni form4 wa tanzania kikweli kweli..a typical kenyan std8, yani hujielewi km unataka nini katika comments zako..
Sent using Jamii Forums mobile app
naona umekua msemaji chwara wa kesho la polisi Kenya na Kama haujaitaja Kenya usingizi haupatikani! Kwa sasa kojoa ulale naja kukumbusha hali ilivyo tanganyika!!!!Wacha kupindisha maneno, POLISI haina uwezo wala mamlaka ya kumuweka mtu kizuizini bila kumpeleka mahakamani.
POLISI imesema kabla ya kumpeleka mahakamani lazima kwanza akae quarantine kwa siku 21 ili wawe na uhakika kama hana virusi vya Corona ndio wampeleke mahakamani.
Sasa hivi yupo Quarantine chini ya usimamizi wa jeshi la POLISI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanakuban ovyo ovyo? Hawakupendi au nini mkuu?Tony254, ni matumaini yangu kwamba uliona ile post namba #7 kule kwenye ule Uzi wa mwenzenu unaozungumzia wakenya wa Mombasa wanaokataa kupima Covid.
Sisi huwa hatuanzi kuwachokoza, Mimi wameni "unban" wiki moja iliyopita, sikutaka kufungua Uzi wowote ili kuona kama kuna mabadiliko yoyote, lakini nilipogundua kwamba bado watu wanaendelea na tabia ya kushambuliàna, ndio ninajibu mapigo. "To every action, there is equal but opposite reaction".
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesema wapi?Wacha kupindisha maneno, POLISI haina uwezo wala mamlaka ya kumuweka mtu kizuizini bila kumpeleka mahakamani.
POLISI imesema kabla ya kumpeleka mahakamani lazima kwanza akae quarantine kwa siku 21 ili wawe na uhakika kama hana virusi vya Corona ndio wampeleke mahakamani.
Sasa hivi yupo Quarantine chini ya usimamizi wa jeshi la POLISI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna zezeta moja nilimtukana, nilistahili hiyo adhabu, sijaonewa.Mbona wanakuban ovyo ovyo? Hawakupendi au nini mkuu?
Tanzania ukabila umeshika kasi as we speakTanzania uchaguzi haubadilishi lolote, sisi sio wakabila, tatizo Kenya ni ukabila ndio sababu ukifika mwaka wa uchaguzi kila kitu kinasimama
https://www.facebook.com/
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona leo umejifunga mazee...Hahahaha, hebu sema Serikali ni nani, inachaguliwa na nani, inawekwa madarakani na nani ili kufanya nini?.
Serikali ya Tanzania ni " Board of trustees " ya wananchi wa Tanzania, tunaichagua na kuikabidhi majukumu ya kutunza na kulinda Mali zetu kwa mujibu wa tulivyokubaliana katika katika yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona leo umejifunga mazee...
Nakumbuka maneno yako eti "umeona wapi nchi duniani serikali ndio inamiliki ardhi"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, utasubiri sana. Ulishawahi kuona mtu amekufa baadae akafufuka?, ukabila Tanzania ulikufa na kuzikwa muda mrefu sana, imebaki historia tu.
Kenya Serikali haina uhusiano na wananchi ndio sababu unashindwa kuelewa. Tanzania Serikali na wananchi ni familia moja, Serikali ni baba na wananchi ni watoto, huwezi kuvitenganisha, Mali ya baba ni Mali ya watoto, na Mali ya watoto ni Mali ya baba.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1442065
Sent using Jamii Forums mobile app