joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Machakos Governor Alfred Mutua to Use Pawpaws in Covid-19 Mass Testing
Alfred Mutua ni miongoni mwa magavana wenye elimu ya kiwango cha "PhD" kama alivyo Magufuli, yeye pia ameona umuhimu katika kitendo alichofanya Magufuli, jambo la kusikitisha, watu wenye digirii za kuunga kwa "superglue" humu wanajaribu kumpinga na kumkebehi. "Help them God".
Sent using Jamii Forums mobile app