Ile hotuba ya Magu,kuhusu kits,imesambaa dunia mzima,nilikuwa napitia vyombo vya habari vikubwa duniani,Yaani ndio habari kwa sasa,hawa majirani wetu ndio wanaamka,najua wanafanya kimya kimya kuepuka aibu,lakini Magu will stand to be the best President ever in the Continent!