Sayansi ya virusi ni mtambuka kama zilivyo zingine.
Virusi vinafahamika kubadilika hata kuwa hatari zaidi, visipotokomezwa mapema.
Virusi vya corona katika miili ya wasiochanjwa ndiko yaliko maeneo wezeshi ya kupatikana aina konki zaidi.
Kwa kuutambua ukweli huu wenye kuelewa wanaelekea kwenye chanjo za shuruti. Hawa pia wanasitisha safari za anga na Afrika Kusini.
Kwa kuupuza ukweli huu wengine wanaiweka dunia yote hatarini.
"Hakuna aliye salama hadi pale kila mtu atakapo kuwa salama."
Huo ndiyo ulio ukweli wenyewe.
------------
Angalizo:
Hii ni sawa na Kipepe aliyeingia mijini na baiskeli ya miti na kuishia kusababisha ajali.
Hata baada ya ajali Kipepe hakuweza kuelewa ni vipi kuveshwa msala huo wa ajali hali waliogongana ni hao waliokuwa wakimnyanyapaa 😁😁.
Wenye ma rover yao Mars, Corona ni tatizo isipokuwa Tanzania wanakothubutu kutamka hadharani kuwa wao Corona wameshaizowea.
Maajabu kamili ya Mussa!