Ndio ipo hivyoIsije ikawa kama jirani zetu wanataka pesa za who sasa wanakazana kupiga tarumbeta corona
corona
Najisemea tu
Wizara husika wametoka mafichoni kama vile utawala uliokwisha na wa sasa si dugu moja
Takwimu zisiwe za kupikwa kuweni wakweli lakini MABEBERU wanasema watatuletea chanjo tu si PESA
Kama sikosei mwaka Jana, 2020 vijana wa Mujibu wa Sheria waliokuwa JKT walirudishwa nyumbani mapema baada ya Corona kupamba Moto Kama ilivyo Sasa.
Mashauri Kama ilivyofanyika mwaka Jana, 2020, vijana warudishwe nyumbani kupunguza msongamano na kuwaepusha na maambukizi ya Corona.
Jana Rais Samia ametumia neno wimbi la Tatu. Anyway ngoja uguswe ndiyo utàamini na kuleta mrejesho hapaCORONA? Eti wimbi la tatu!. Ina maana kutakuwa na wimbi la nne,tano,saba na kuendelea. Hizi ni siasa tu juu ya afya za watu. Inawezekana dunia ikaingizwa kwenye attention nyingine ya kutisha baada ya corona. Kulikuwa kuna ukimwi hofu yake haipo. Y2k nayo ilitisha sana lakini dunia ingali inaendelea
Waende wapi ambako hakuna msongamano?Kama sikosei mwaka Jana, 2020 vijana wa Mujibu wa Sheria waliokuwa JKT walirudishwa nyumbani mapema baada ya Corona kupamba Moto Kama ilivyo Sasa.
Mashauri Kama ilivyofanyika mwaka Jana, 2020, vijana warudishwe nyumbani kupunguza msongamano na kuwaepusha na maambukizi ya Corona.