#COVID19 Corona yapunguza maambukizi ya VVU na magonjwa ya zinaa

#COVID19 Corona yapunguza maambukizi ya VVU na magonjwa ya zinaa

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Corona inaambukizwa kwa kishaka au kushika sehemu yenye virus na kuweka mkono wenye virus machoni au mdomoni.

Zinaa au tendo la ndoa haliwezi kufanyika bila kugusana na viungo vinavyoweza kutumika kwenye mchakato wa tendo ni mdomo.

Tishio la corona limewaweka watu mbali, limewafanya baadhi ya wazinifu kujitengenezea utaratibu wa kujifungia, baadhi wanajifungia kulinda familia zao hivyo zinaa au ufanyaji wa tendo la ndoa umepungua sana Duniani.

Kwa mazingira haya maambukizi ya vvu na magonjwa ya zinaa pia yamepungua.

Lakini pia covid imepunguza mzunguko wa fedha hivyo watu wengi hawana fedha so penzi la pesa limekufa au kuporomoka.

Corona imesaidia dunia kwenye baadhi ya mambo, hata matendo ya kialifu ikiwemo matangazo na matendo ya Ugaidi yamepungua. Magaidi nao Duniani wanajilockdown, dunia kwa kiasi flani imetulia kwenye vita vya magonjwa na uhalifu na wamejikita kwenye corona.
 
Aaah kabisa na kwa sasa magonjwa mengine hayaui kabisa imebaki corona tu ndo inayotumaliza
 
Back
Top Bottom