Coronavirus found in men's semen

Sasa kama hii kitu inapatikana kwenye papai, mbuzi na hii kwenye mbegu tutasalimika kweli?
 
Uwepo wa vimelea vya magonjwa katika sehemu Fulani ya mwili, haimaanishi kuwa sehemu hiyo inaweza kuwa mlango wa maambukizi.
Mara nyingi maambukizi hutokea kama cells za sehemu husika zinabeba receptors kwa hivyo vimelea.
 
Chinese scientists have detected coronavirus in the semen of infected men but further research will be needed to determine whether the virus can be sexually transmitted.

The findings from a study of coronavirus patients at a Chinese hospital were published on Thursday in the JAMA Network Open medical journal.

COVID-19 is spread through respiratory droplets or contact and the virus has also been detected in feces, saliva and urine.

Read the latest updates in our dedicated coronavirus section.

Researchers at the Shangqiu Municipal Hospital in China’s Henan Province conducted a study to determine whether the virus was present in semen.

They tested the semen of 38 coronavirus patients aged 15 to their 50s

Genetic material from the coronavirus was found in the semen of six patients - four of whom were at the “acute stage of infection” and two of whom were “recovering.”

The researchers noted that the study was “limited by the small sample size” and further research would be required to determine whether the virus can be sexually transmitted.

“If it could be proved that SARS-CoV-2 can be transmitted sexually in future studies, sexual transmission might be a critical part of the prevention of transmission,” the study said.

“Abstinence or condom use might be considered as preventive means for these patients,” it said.
 
Ila hawa virus wanataka nini.

Wametufanya tujifungie ndani, Mass unemployment, small business destroyed, suicide, economic colapse na sasa wameamua wakakae palipo faraja (kwenye utamu).

Matokeo ya blowjob, oneni sasa. Lol nacheka kama mazuri vile.
Paula paul kumbe nawe waimanya blow job!! I wish i could be IGP(wako)!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana...

Kama Shahawa zina test positive with Corona Virus...

Kwanza tunapunguzwa kwa kufa na Corona Virus, alafu tunaaminishwa inapatikana pia kwenye Shahawa, means hata kujaamina nayo itakua marufuku, hakuna kuongezeka...



Cc: mahondaw
 
kwa hio hapo ina maana mpaka mimba inakua na covid19 au sio ?
 
Hizi zote ni katika harakati za mtu mweupe kupunguza binadamu duniani...



Cc: mahondaw
 
Wachina Msitutishe sisi tunaendelea kufyatua, baba yetu katuambia tufyatue ili tukuze uchumi.
 
. 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…