Coronavirus: Klabu za ligi ya Premia zimeamua kwamba zitaendelea na ligi hiyo lakini hazikutoa tarehe rasmi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Klabu za ligi ya Premia zimesema kuwa zitaendelea na ligi hiyo ili kukamilisha mechi 92 zilizosalia msimu huu , lakini hazikusema tarehe rasmi ya kurudi uwanjani katika mkutano siku ya Ijumaa.

Klabu hizo zilitarajiwa kujadiliana kuhusu kurudi uwanjani ifikiapo tarehe 30 mwezi Juni lakini badala yake zikazungumzia kuhusu uwezekano wa kuahirisha mechi hizo.

Ligi hiyo imesema kwamba iko tayari kukamilisha mechi zilizosalia lakini kwa sasa tarehe zote hazijathibitishwa.

Ligi hiyo iliahirishwa tangu Machi 13 kutokana na mlipuko wa virusi hivyo.

Inaeleweka kwamba baadhi ya klabu zilitarajiwa kuzungumzia kuhusu tarehe ya Juni 30 siku ya Ijumaa lakini ikaamuliwa kwamba huu sio wakati wa kufanya hivyo.

''Pamoja na biashara nyengine na viwanda , ligi ya Premia na klabu zetu tunapanga mipango migumu inayoweza kutokea'', ilisema ligi hiyo.

Mkutano wa leo wa wanahisa ulitoa fursa kuzungumzia njia nyingine za kuahirisha mechi hizo, linasalia lengo letu kukamilisha msimu wa 2019-2020, lakini kufikia sasa tarehe zote hazijaamuliwa huku janga la corona likiendelea kuathiri

Kufikia sasa hivi ndivyo hali ilivyo:

Ligi ya Ujerumani ya Bundesliga: Klabu zimerudi katika mazoezi lakini msimu ukaahirishwa hadi Aprili

La Liga ya Uhispania: Hakutakuwa na mazoezi hadi harakati za dharura zilizowekwa kuondolewa na rais wa ligi hiyo Javier Tebas amesema ligi hiyo inaweza kurudi uwanjani tarehe 28 mwezi

Ligi 1 ya Ufaransa: Mamlaka ya soka nchini Ufaransa inafikiria kuanzisha ligi hiyo kuanzia tarehe 3 au 17 mwezi June.

Seria A ya Itali: Shirikisho la soka Itali (IFF) linatumai kuanza kuwapima wachezaji mwanzo wa Mwezi Mei ili kujiandaa kuendelea kwa msimu huu.

BBC Swahili
 
Jambo la busara wafunge tu wapemba wengi wanazaliana na na hiki kibaridi hakuna anayefikiria mpira huko
 
Ni furaha yangu kuona haki itatendeka.hakuna anaepinga kuwa corona imekuwa ni virus hatar sana duniani kote.laki n ukweli ni kwamba cha kaisali tumpe kaisali na kilicho cha halali kwako basi kibakk mikonon mwako,kama ligi ingefutwa manake ukweli hakuna timu ambayo ingeumia sana kama liverpool,na naamini kwa kweli wangesubir sana mpaka kulipata hilo kombe.
Actual kwa timu kama Aston villa timu yetu tungefurahi kama ligi ingefutwa hakika tungebaki ligi kuu.
 
Klabu za ligi ya Premia zimesema kuwa zitaendelea na ligi hiyo ili kukamilisha mechi 92 zilizosalia msimu huu , lakini hazikusema tarehe rasmi ya kurudi uwanjani katika mkutano siku ya Ijumaa.

Klabu hizo zilitarajiwa kujadiliana kuhusu kurudi uwanjani ifikiapo tarehe 30 mwezi Juni lakini badala yake zikazungumzia kuhusu uwezekano wa kuahirisha mechi hizo.

Ligi hiyo imesema kwamba iko tayari kukamilisha mechi zilizosalia lakini kwa sasa tarehe zote hazijathibitishwa.

Ligi hiyo iliahirishwa tangu Machi 13 kutokana na mlipuko wa virusi hivyo.

Inaeleweka kwamba baadhi ya klabu zilitarajiwa kuzungumzia kuhusu tarehe ya Juni 30 siku ya Ijumaa lakini ikaamuliwa kwamba huu sio wakati wa kufanya hivyo.

''Pamoja na biashara nyengine na viwanda , ligi ya Premia na klabu zetu tunapanga mipango migumu inayoweza kutokea'', ilisema ligi hiyo.

Mkutano wa leo wa wanahisa ulitoa fursa kuzungumzia njia nyingine za kuahirisha mechi hizo, linasalia lengo letu kukamilisha msimu wa 2019-2020, lakini kufikia sasa tarehe zote hazijaamuliwa huku janga la corona likiendelea kuathiri

Kufikia sasa hivi ndivyo hali ilivyo:

Ligi ya Ujerumani ya Bundesliga: Klabu zimerudi katika mazoezi lakini msimu ukaahirishwa hadi Aprili

La Liga ya Uhispania: Hakutakuwa na mazoezi hadi harakati za dharura zilizowekwa kuondolewa na rais wa ligi hiyo Javier Tebas amesema ligi hiyo inaweza kurudi uwanjani tarehe 28 mwezi

Ligi 1 ya Ufaransa: Mamlaka ya soka nchini Ufaransa inafikiria kuanzisha ligi hiyo kuanzia tarehe 3 au 17 mwezi June.

Seria A ya Itali: Shirikisho la soka Itali (IFF) linatumai kuanza kuwapima wachezaji mwanzo wa Mwezi Mei ili kujiandaa kuendelea kwa msimu huu.

BBC Swahili
Liverpool ina kura ya veto, ni timu ya waingereza wengi. Hawawezi kubali. Akiwemo queen.
 
Back
Top Bottom