#COVID19 CoronaVirus: Mgonjwa wa kwanza wa corona apona Kenya. Watumishi wa Serikali akiwemo Rais kupunguziwa mishahara

#COVID19 CoronaVirus: Mgonjwa wa kwanza wa corona apona Kenya. Watumishi wa Serikali akiwemo Rais kupunguziwa mishahara

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Kenyatta.jpg

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona.

''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa.

Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya imefikia 28.

Rais pia ametangaza hatua kadhaa ambazo zitasaidia serikali yake kukabili janga la corona ikiwa ni pamoja na amri ya kutotoka nje kuanzia Ijumaa Machi 27 kuanziasa moja usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi.

''Orodha kamili ya watu wanaotoa huduma muhimu ambao hawatathiriwa na amri hio itatolewa na wizara ya ya usalamma wa ndani'' alisema rais Kenyata

Ushuru wa ziada utapunguzwa kutoka asilimia 16% hadi 14% kuanzia Aprili 2020.

Rais ametangaza hatua ya kupunguza mshahara wake kwa asilimia 80 huku mawaziri wake wakipunguza mshahara wao kwa asilimia 30.

======

President Uhuru Kenyatta has now imposed a countrywide curfew of between 7pm and 5am effective Friday, March 27 as part of measures to stem the spread of the coronavirus in the country.

The only persons who will be exempted from the curfew are medical professionals, health workers, critical and essential services providers.

“…effective Friday, 27th March, 2020; a Daily Curfew from 7 p.m. to 5 a.m. shall be in effect in the territory of the Republic of Kenya, with all movement by persons not authorized to do so or not being Medical Professionals, Health Workers, Critical and Essential Services Providers, being prohibited between those hours,” said Kenyatta in a nation address on Wednesday.

The Critical and Essential Service Providers who will not be affected by the curfew include; Medical Professionals & Health Workers, National Security, Administration and Co-ordination Officers, Public Health and Sanitation officers in the County Governments, Licensed Pharmacies and Drug Stores, Licensed Broadcasters and Media Houses, Kenya Power & Lightening Company Limited.

Others include Food Dealers, Distributors, Wholesalers & Transporters of Farm Produce, Licensed Supermarkets, Mini-Markets and Hypermarkets, Licensed Distributors and Retailers of Petroleum and Oil Products and Lubricants, Licensed Telecommunication Operators and Service Providers, Licensed Banks, Financial Institutions and Payment Financial Services, Fire Brigade and other Emergency Response Services and Licensed security firms.

The Head of State further declared with immediate effect, the management of the Kenya Ferry Services will be undertaken by the National Police Service, the Coast Guard and the National Government Administration Officers (NGAO).

Kenyatta said the new measures had been sanctioned by the National Security Council through Public Order Number 1 on the Coronavirus Pandemic.

He reiterated on the need for Kenyans to observe social distancing to slow the spread and ease the effects of COVID-19.


Source: Citizen Tv
 
Hapa rais wangu pamoja na kwamba huwa nakuunga mikono kwenye maeneo mengi, ila kwa hili ungezuga kidogo, jitoe ufahamu kama mwenzako wa kusini Tz ambaye alisema tusitishane, ungesubiri tuone upepo unaelekea wapi, ilmradi mipaka tumefunga, halafu hamna tembea tembea nyingi na tunadumisha usafi, nahisi tungetusua tu ndani ya wiki tatu kinatuondokea.

Curfew itaumiza sana raia wa nchi yetu.
 
Sabuni za maji za kunawia mikono zimekuws bidhaa adimu.
DETTOL BADO ZIPO MADUKANI. CHUKUA DETTO CHANGANYA NA SHAMPOO ZINAZOTENGENEZWA HATA NA WAJASIRIA MALI WETU MITAANI MAANA ZIPO NYINGI, PAKAA NA KISHA IWACHE KWA MUDA KIASI, KISHA NAWA KWA MAJI MENGI KILA WAKATI.
 
Cha muhimu ni kimiminika chuchote chenye alcohol percentage kuanzia 70 na kuendelea.

On a lighter note, ikishindikana Kabisa, unaweza nunua whiskey kama vile Bourbon au Everclear, au hata unaweza kwenda kwa mama akakupimia lita ya pingu🙂
Sabuni za maji za kunawia mikono zimekuws bidhaa adimu.
 
Spika wa bunge la nchi jirani ameridhia kukatwa 30% ya mshahara wake kusaidia mapambano ya corona.

Kadhalika mbunge mmoja amehiyari kukatwa 50% ya mshahara wake kila mwezi kwa lengo hilo hilo na wabunge wengine wameridhia makato kwa viwango tofauti tofauti kulingana na namna walivyoguswa.

Tanzania tunaweza kujifunza kitu hapa
 
Kazi imeanza, waKenya wanagoma kupima Corona baada ya kusikia speech ya JPM, Gavana wao anawapiga mkwara...

 
The University of Nairobi will perform its 63rd graduation virtually on 25th of September 2020. Those to graduate include all students who have qualified for PHDs, Masters, Bachelors, Diplomas, and Fellows.
The UON vice chancellor, Prof.

Stephen Kiama in a statement issued on Friday also noted that the new academic year 2020/2021 learning will resume in September but virtually.

He also said that all first year students joining UON will receive instructions and guidelines on how to join the University and undergo online orientation.

UoN-730x414-1.jpg


Source: University of Nairobi to Hold Virtual Graduation, Freshers to Undergo Online Orientation - JITIMU
 
Hapa rais wangu pamoja na kwamba huwa nakuunga mikono kwenye maeneo mengi, ila kwa hili ungezuga kidogo, jitoe ufahamu kama mwenzako wa kusini Tz ambaye alisema tusitishane, ungesubiri tuone upepo unaelekea wapi, ilmradi mipaka tumefunga, halafu hamna tembea tembea nyingi na tunadumisha usafi, nahisi tungetusua tu ndani ya wiki tatu kinatuondokea.
Curfew itaumiza sana raia wa nchi yetu.
Hapa uliandika ukiwa na akili timamu...au kuna mtu alitumia account yako ya jf🤔
 
Back
Top Bottom