Coronavirus: Prince Charles tests positive for COVID-19

Mwana mfalme wa uingereza (price charles) apata maambukizi ya kirusi cha korona, kufuatia maambukizi hayo hatimaye aamua kwenda kujificha nchini Scotland ili kuepusha kusambaa kwa kirusi hiki kwenye familia ya malkia wa Uingereza.

Maambukizi ya korona hayana chama
 
Huu ni ubinafsi !! AtawapelekeaJe Wascochi na family yake aiponyeshe ?!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kila mtu anaweza kupata, unaweza kutumiwa hata drone yenye kamasi zenye korona ili habari ya korona izidi kubamba duniani.
Maana kila inapofifia, unafufuliwa kwa mtu maarufu kuipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…