Coronavirus: Prince Charles tests positive for COVID-19

Mara paaaap corona imemkamata Gerson pale jumba jeupe
 

Kazi kubwa - mbombo nkafu. Huyu alishindwa kunawa huyu?

Kwa hakika ni Tanzania tu ambako haka ni ka upepo tu na kuwa ati katapita tu.

Kupita katapita, tatizo ni kuwa katapita je?

Hapo ndipo kuna watu tuliwapa madaraka - hawajali. Yaani haiwahusu.

Wasijidanganye. Kwa hili mbona hata ICC itawa - mind?
 

Hili gonjwa haliangalii Tajiri au Fukara, Rais au Raia, Malkia au Mfalme, Mwanasiasa awe Chama Twawala au Chama Liwa...When the Covic-19 decides to hit, it hits hard! Survival is only by the Grace of God..!

Help us God Almighty! Amen.
 
Kwani akiumwa nae si mtu au tuumwe sie vijitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mwana wa Malkia.


Baba'ke Charles hajawahi kuwa mfalme. Charles ni mwana wa Malkia Elizabeth wa Uingereza.
 
Unaota ndoto za Alinacha ww! Ni marufuku mikusanyiko kuzuia Corona isienee.....!
Sasa hizo kampeni za Uchaguzi na KUPIGA kura utazifanya kwa Video conference au?
Mkuu!

Hii sio ndoto!

Kuna vitu vitasimamishwa ila sio uchaguzi.

Mkighairisha uchaguzi mtakuwa mmevunja katiba na mjiandae kuwajibishwa kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles akutwa na ugonjwa wa Corona na amewekwa chumba Cha uangalizi (isolation room). Pia taarifa inaeleza hana virus lakini matokeo ya vipimo ni +ve (sijaelewa wanamaanisha nini). Tuendelee kuchukua hatua za kujinga hali si nzuri.

Chanzo:
BBC News - Coronavirus: Prince Charles tests positive but 'remains in good health'
Prince Charles tests positive for coronavirus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…