Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Ndiyo maana nikasema chanjo ni wendawazimu kwa ajili ya wendawazimu. Hiyo Uingereza inateswa na hiki "kirusi kipya kilichoanzia Congo na SA". Wewe unakuja hapa na kudai chanjo imewasaidia! Huo ndiyo wendawazimu ninaousema.

Asilimia kubwa ya mnaolilia hiyo chanjo mnafanya hivyo kwa sababu ya mrengo wa kisiasa. Siamini kama kweli akili zenu zinaafikiana na siasa hizi za chanjo. Ni ile tu mnashindwa kuweka mpaka baina ya chuki zenu kwa Magu na serikali yake na masuala mengine kama haya yanayohitaji utashi usio wa kisiasa.
 
Mkuu, nashukuru kwa kujaribu kuwaamsha hawa watu wanaolilia chanjo ambayo akilini wanajua fika ni ujinga mtupu. Kuna wajinga wengine jirani zetu hapo juu mamungiki. Hawa ilipotoka tu chanjo wakakurupuka kukopa pesa na kuagiza seti laki 8 za chanjo. Siku chache baadae kikaibuka hiki kirusi kipya kinachosumbua kwa sasa ambacho hakikingwi na hiyo chanjo waliyoagiza.

Sasa hawa nyumbu wanataka na sisi tuwe na akili kama hizo!
 

Lete source ya hayo unayoongea.
 
waingereza wamechanjwa na kama wamechanjwa wasiwasi wa mini ukishachanjwa si hakuna kuambukizwa tena? hivyo kama chanjo ina aminika hakuna haja yakuzuia watalii lbd kama hiyo chanjo ni ya kupigia pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…