Corporate tax policies

Corporate tax policies

PetersonBay

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
69
Reaction score
15
nahitaji kufahamu kuhusu corporate tax policies in tz, kuna tofauti gan kat ya corporate tax, na tax anayolipishwa mtu binafsi katika shughuli zake za kimaendeleo na mamlaka husika? Je ipi iko na makali zaidi kwa mjasiriamali? msaada wa mawazo tafadhali kwa wenye ufahamu na hivi vitu, mnipatien na referrence books km kuna vitabu vina hizi policies ili nipate kujisomea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom