Corruption is a cancer, is a disease and if at all you are there to fight the disease, you must fight seriously

mleta uzu bila shaka unatania ulie m quote sio sinzonje wetu si ndio eeh?
 
duuh!! hiki kiinglish cha wapi?
 

Mimi napata taabu sana kuwaelewa baadhi ya watanzania walio wachache badala ya kuleta hoja makini kwa ajili ya ujenzi na usitawi wa taifa la Tanzania,watu wana discuss personalities,hivi kweli Rais kuongea kiingereza fasaha kitatutatulia matatizo tuliyonayo kibao katika taifa letu pendwa la Tanzania?
 
Nilvyokuwa naangalia hiyo clip mwanangu alikuwepo akaniuliza kumbe anafahami English, nikamwambia ndio
 
Duh, even myself i can be come a doctor and yet don't know how to speak proper English?
Lakini kajitahidi jamani, the cancer is killing us wohi.
 
Basi awe anaenda na wakalimani kuepuka aibu hii kaka, kumbuka huyo ni public figure, Watz au walio nje hawawezi kuacha kujadili jambo lolote linalomuhusu Rais wa nchi yoyote! Kiburi cha mkuu wetu wa nchi! Mwaka wa pili sasa, hana diplomasia. Au ndo sababu anaishia humu humu tu, havuki nje ya Africa....
 
Amtafute RAS SIMBA, hakuna namna
Kama ndo hivo, asiende kabisa nchi za watu. Hivi kama angalikuwepo Mahiga, si ndo ingekuwa balaa kama lililomkuta Robert Ouko?!
Na hapa namshauri, siku nyengine asiongee lugha inayompa taabu kuwasiliana na kufikisha ujumbe. Kwa pale angetumia kisukuma halafu mkalimani angetumika kutafsiri.
Ingawa wengine tutasema oooh kwani lugha ndo kigezo cha kuongoza, lakini ukweli utabaki kama ulivyo, kiongozi anatakiwa awe tajiri wa kuongea kiufasaha ili kurahisisha mawasiliano na wale unaowapa maagizo.
 

"mafisadi wala lushwa"

Hii ndyo sababu mjuaji hataki kwenda UK na USA

Kwani lazima kwenda UK na USA ?
Tutaenda CHINA na URUSI
 
alionyesha ubora wake kwa kweli
Ila kuna jamaa kwa pembeni alikua anacheka balaa sijui alikua anacheka nn
 
Are you corrupted? If at all nimeeleweka by principle
 
IT IS WORSE THAN CANCER!!!
COZ A CORRUPTED SYSTEM IS TERRIBLY CONTAGIOUS.
WE HAVE TO FIGHT AGAINST CORRUPTION BY ALL MEANS.
THEY WILL GIVE YOU A HARD TIME, (THOSE CORRUPTED PUBLIC WORKERS) BUT, STAND UP FOR YOUR RIGHT AND DON'T GIVE UP THE FIGHT AGAINST "MAFISADI MIRIJA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…