The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
1. Botswana 30/178
2. Mauritius 43/178
3. Seychelles 51/178
4. Namibia 58/178
5. Lesotho 64/178
6.South Africa 69/178
7. Malawi 88/178
8.Swaziland 88/178
9. Zambia 88/178
10. Tazanina 102/178
11. Mozambique 123/178
12. Angola 157/178
13. DRC 160/178
14. Zimababwe 163/178
Najua kuna watu watabeza na kuitetea serikali ya CCM ilikaa madarakani zaid ya miaka 50................. lakini the fact remain the same Rushwa ni imezidi TZ!!!!
1. Botswana
30/178
2. Mauritius 43/178
3. Seychelles 51/178
4. Namibia 58/178
5. Lesotho 64/178
6.South Africa 69/178
7. Malawi 88/178
8.Swaziland 88/178
9. Zambia 88/178
10. Tazanina 102/178
11. Mozambique 123/178
12. Angola 157/178
13. DRC 160/178
14. Zimababwe 163/178
Najua kuna watu watabeza na kuitetea serikali ya CCM ilikaa madarakani
zaid ya miaka 50................. lakini the fact remain the same Rushwa
ni imezidi TZ!!!!
Nadhani ungelieza juu ya hii index ili kujua uhalisia wa hoja. Bila maelezo si rahisi kupata mchango kutoka kwa wadau wa jf.
hujaeleweka mr.Zero, this is zero!
then Hebu tuwekee hapa utafiti wako uliofanya.Sikubaliani na hiyo nafasi kwq Tanzania.
Tunapaswa kuwa angalau kwenye namba3 kama moja imeshindikana.
nashangaa kwa nini mleta mada amekimbila sadc na akaacha EAC. una lako jambo, umejua kwa EAC ni ya pili baada ya rwanda ila kwa kutaka kuikosoa serikali umekimbilia huko. ningekuelewa kama hata ungeweka zote basi. hivi ni yupi jirani wa ukweli kati kenya/ uganda na namibia/lesotho?
ukimuona mleta mada utadhani ana kichwa juu ya shingo kumbe ni kifuu cha nazi.
Acha unafiki wewe ukipewa rushwa utakataa, tatizo kubwa la watz ni unafiki zaidi ya rushwa, tusipokubali kujirekebisha sisi wenyewe rushwa itaendelea kuwa donda
nashangaa kwa nini mleta mada amekimbila sadc na akaacha EAC. una lako jambo, umejua kwa EAC ni ya pili baada ya rwanda ila kwa kutaka kuikosoa serikali umekimbilia huko. ningekuelewa kama hata ungeweka zote basi. hivi ni yupi jirani wa ukweli kati kenya/ uganda na namibia/lesotho?
ukimuona mleta mada utadhani ana kichwa juu ya shingo kumbe ni kifuu cha nazi.
1. Botswana 30/178
2. Mauritius 43/178
3. Seychelles 51/178
4. Namibia 58/178
5. Lesotho 64/178
6.South Africa 69/178
7. Malawi 88/178
8.Swaziland 88/178
9. Zambia 88/178
10. Tazanina 102/178
11. Mozambique 123/178
12. Angola 157/178
13. DRC 160/178
14. Zimababwe 163/178
Najua kuna watu watabeza na kuitetea serikali ya CCM ilikaa madarakani zaid ya miaka 50................. lakini the fact remain the same Rushwa ni imezidi TZ!!!!
Rushwa Tanzania ni maisha ya kawaida. Kila mtu akifanya kazi ambayo ameajiriwa kufanya anataka rushwa. Na sisi kwa uungwana wetu tunaona aibu kumuacha mtu bila kumpa chochote hata kama mtu kakutafutia file. Nadhani ni utamaduni wa Mtanzania kutoa na kupokea rushwa. Ndo maana CCM walikuja na hoja ya takrima.