Cosmas Chidumule - Libarikiwe Neno Hili

Jamani ubarikiwe Sana mkuu naupenda sana huu wimbo,na nilikuwa nautafuta mno🙏
 
Natafuta ule wa (wewee ni munguuu wetuuuu hosananaaaaa ,hosanaaaa munguu
 
prodyuza ni nani mkuu?
Kiukweli sifahamu mtayarishaji wa huu wimbo ni nani, ni wimbo wa zamani kidogo. Ukisikiliza ubora wa vocals utafahamu huu wimbo una miaka kadhaa na ulirekodiwa kipindi ambacho hakukuwa na vifaa bora vya uandaaji wa mziki.
 
Wimbo una baraka sana huu.... mkiweza msikilizeni Spotify apate fedha zake stahili
 
Hii ni clip fupi inayomuonesha muimbaji wa nyimbo za Injili Mchungaji Cosmas Chidumule akiimba wimbo wake maarufu unaofahamika kwa jina la Furaha Yangu.
Your browser is not able to display this video.
 
Asante sana mkuu bado ule wa Bwana Yesu ni chekeche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…