MAKOLE
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 618
- 280
Kuna wadad wawili wamekuja wilaya ya Korogwe kukamata kazi za wasanii zinazoibwa, wamewakamata vijana wakodisha mikanda kwa kuwa tu wanazo kompyuta kwenye vibanda vyao, wamewatoza faini za laki 5 kila mmoja baada ya kuwaburuta mahabusu. kesi hii haikupelekwa mahakamani. Napenda kujua hili, ni sheria ipi kuwa ukikuta miziki kwenye kompyuta ya mtu ni kosa?