Kwani hadi dunia hii ya leo bado watu wanaotegemea radio kusikiliza mziki.. Mimi wangesema habari sawa mzikiWasanii wengi wanahonga hizi media ili nyimbo zao zipigwe. Ama muziki utashuka, au wasanii hawatapata wanachostahili.
Ni vema serikali ingechunguza kabla ya kuamua.
Wanasema si redioni tu ni maeneo yote ya kibiashara yanayo cheza muziki.Kwani hadi dunia hii ya leo bado watu wanaotegemea radio kusikiliza mziki.. Mimi wangesema habari sawa mziki
Kwenye tozo za miamala na kodi za nyumba hawajafikiria kweli watafikiria hiyo 30% ya msaniiWasanii wengi wanahonga hizi media ili nyimbo zao zipigwe. Ama muziki utashuka, au wasanii hawatapata wanachostahili.
Ni vema serikali ingechunguza kabla ya kuamua.