COSOTA ni nini?

Dollar hermees

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
517
Reaction score
1,045
Nimejaribu kuuliza watu mbalimbali kuhusiana na uwasilishaji wa mawazo ya biashara au ujasiriamali. Majibu niliopata ni nenda COSOTA.

Mtazamo wenu unasemaje kuhusiana na njia ya sajili na kuliendeleza wazo lako la biashara.

Pili COSOTA inaweza tusaidia kwa kiasi gani katika hili..
 

Hakuna Logical Connection kati ya Headline na Thread Content yako. Na ninajua hujanichanganya tu peke yangu bali wapo wengineo pia Ndugu.
 
Ao jamaa kila mwaka wanakuja kuchukua karibia laki Tatu kwenye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…