Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
- Thread starter
-
- #20,441
Make kwanza nchekeeπ.. Hii mbona hatujasikia mapambio na vinubi.. Wapi fedha zinatokaπβ¦ Wapi tender ilipotangazwa, huyo mkandarasi ni nani kwaniπ..
Mbona povu?Make kwanza nchekeeπ.. Hii mbona hatujasikia mapambio na vinubi.. Wapi fedha zinatokaπβ¦ Wapi tender ilipotangazwa, huyo mkandarasi ni nani kwaniπ..
Mipango mingii kwenye makaratasi,mnaanzisha hili hamjamaliza mara mnaleta lile, mnatumalizia miti tu..
Naskia kumbe ni mipango tu ya PPP banaπMbona povu?
Means Rwanda is will connext its SGR through Tanzania?
Sidhani! Kagame ni kigeugeu!Means Rwanda is will connext its SGR through Tanzania?